Search results

  1. P

    Nampenda sana Nargis Mohamed

    Mbiki 2003 vs Hoyce 99 ilikuaje mchuano hapo?
  2. P

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Wajanja wanaweka bonds au utt,hiyo inakuwa kama collatel anaweza kuchukua hadi 80% ya mzigo aliwekeza
  3. P

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Jamaa alisema kiwanja ukubwa wa 35kwa 40 jkt,kiwanja cha 500m hakuna labda kiwe eka,kule kwa mama vile ni special kesi hata tasisi zinazunguka na lazima uwe mzito
  4. P

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Mbweni JKT kwa ukubwa huo hahizidi 80m kule kwa Mama viwanja vikubwa ndio 200m
  5. P

    Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

    Instgram ndio sehemu nzuri ya kutanganza,ila uwe mbunifu ,watu wanasponsor hadi 1m kwa mwezi,hela ikiwa kubwa na wanaona tanganzo lako wanakuwa wengi
  6. P

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Mwenye nyekundu sio Komba,ni Stevin Kwayawaya (R.I.P)alikuwa mbunge wa mpwapwa ,nakocha Mziray mwenye suti ya kijivu
  7. P

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Mwenye nyekundu sio Komba,ni Stevin Kwayawaya (R.I.P)alikuwa mbunge wa mpwapwa ,nakocha Mziray mwenye suti ya kijivu
  8. P

    Biashara ipi kati ya hizi mbili inalipa zaidi kati ya Fusso Tippa Vs Coaster ya Kubebea abiria

    Mtwara inaonekana biashara ya tipper ni nzuri,ila kwa dar ni ngumu kufikisha gari 10 bila kutuoa kwenye vyanzo vingine.canter Tani 2 bei yake 50m ,hesabu elfu 50,fuso bajaji tan 4 bei Kati ya (75-80m) hesabu elfu 80 hadi laki,isuzu tani 10 bei yake 120m hesabu laki 2.5,mende na faw tan15 bei...
  9. P

    Hivi kuna mabasi ya Usiku Dar kwenda Iringa?

    Pande za mbeya na nauli utalipa ya mbeya
  10. P

    Eti kufanya Engine Overhaul kunaondoa engine katika ubora na ufanisi daima?

    Mswaki inakuwa engine Kasoro vitu kama comperrsor,starter
  11. P

    Eti kufanya Engine Overhaul kunaondoa engine katika ubora na ufanisi daima?

    Chukua mswaki 1.2m,ovaul inaweza kuwa laki 8 tofauti ni kidogo na umepate fundi nzuri
  12. P

    Mkoa wa Kagera na Ufukara

    Toa ushauri zao la biashara ni kahawa haitakiwi kuuza nje ya mipaka, ndizi bukoba zilipatwa mnyauko,toa njia mbadala mtaalam wa uchumi
  13. P

    Mkoa wa Kagera na Ufukara

    Hapo chagua wewe,unajua ushirombo wanauza Mchele Rwanda na uganda,ila kagera kuhuza kahawa Uganda haitakiwi
  14. P

    Mkoa wa Kagera na Ufukara

    Umewahi kusikia kagera imepelekewa mahindi ya msaada ?
  15. P

    Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

    Kanuni ya kupungua uzito 50 % ni chakula hapa jua group lako la damu na diet yake(google utapata) 30% maji lazima unywe maji 15% usingizi lazima upate muda wakutosha kulala 5% mazoezi
  16. P

    Kwanini bei ya mafuta isiwe moja nchi nzima?

    Bia ina evapolution kama mafuta ?
Back
Top Bottom