Search results

  1. cale

    Kama mzaha hoja ya Mbunge Shabibi inaweza kutungiwa Sheria kuongeza maumivu kwa wananchi

    Wame mismanage michango ya watu mpaka Hali imefika hapa. Tena michango iongezwe Tena wakatapanye!!
  2. cale

    Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    [emoji28][emoji28][emoji28]
  3. cale

    Lissu: Watoto wangu wana uraia wa Marekani, mbona Makonda kama ana Wivu

    Eeeh, hii ya Leo Kali[emoji28]
  4. cale

    e-GA inahujumiwa

    Aiseee, ndo zinachepushwaje hizo hela za manunuzi ya umeme?
  5. cale

    Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

    Wapi hao? Waziri gani na katibu gani?
  6. cale

    Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Jibu tumia logarithms
  7. cale

    Kwa njia za kawaida, uwezo huo hauna. Ila kiheshima, eti unao….

    Mazingira ya wakati, historia binafsi, changamoto za kidunia kwa kipindi Cha kila mmoja ni tofauti...hivyo hata ulinganifu kati yao hauwezi kuwa sawa
  8. cale

    Siku za hivi karibu kila binti ana matumbo mawili

    This!!! Hormonal imbalance imekuwa ni janga!
  9. cale

    TV Imaan: Maaskofu wa Kanisa Katoliki siyo Wazalendo, MoU ya Kanisa ilitoa Masharti Serikal isijenge Shule wala Hospital zilipo huduma zao kama Hizo!

    Kwa hiyo hii ndo itakua precedence kwa kila "mkataba" tutakao kua tunaingia? Hiko ndo wanataka tukielewe?
  10. cale

    Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

    Njia pekee ya yeye kumtumikia Mungu ni kwa kushika hizo nafasi?
  11. cale

    Mkao wa Vita: Viongozi wa Kijeshi wa Niger wajiandaa kikamilifu kwa vita

    Exactly, na hapo ndo naanza kuamini kuwa ECOWAS Ina double standards, it makes no sense. Naona nao Kama wakoloni tu
Back
Top Bottom