Search results

  1. J

    Ukifanya Mapenzi siku ya pili baada ya hedhi unaweza kupata Mimba?

    Hili ndilo jibu mtoa mada.Wengine ni wasanii tu watakudanganya.nilitaka nijibu na ningejibu hivi kama mdau Wa afya
  2. J

    Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    Dah tafuteni Sera ya afya muangalie sifa za hospitali ya rufaa mtapata jibu.Wanasiasa wanawafanya mabogus
  3. J

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Aongee Mwamunyange sio Mtu mwingine yeyote
  4. J

    Mkoa wa Kigoma unaweza kuleta "makandokando" kwa UKAWA kuingia Ikulu

    Kigoma hamna UKAWA trust me.UKAWA wangewakubali ACT kwa ajili ya kura za kule
  5. J

    Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

    Mboe si alipiga zero
  6. J

    Ofisi ya Rais itoe tamko juu ya Mawaziri ambao Ubunge wao umekwisha na wanaendelea na Uwaziri

    Tanzania tunaongoza kwa kujadili vitu ambavyo vimeshaandikwa.Nakushauri ukasome kama ulivyoelekezwa.
  7. J

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Haya mambo yanahitaji elimu na zawadi ya ziada kichwani
  8. J

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Mtatiro anajitahidi sana ila huyu polepole ni saizi ya lissu,slaa na zitto tu upinzani.Wengine anawaonea.Angalia mtatiro anavyojitahidi ila ni kama anafundishwa
  9. J

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Dah Tanzania akili zetu zikoje?hivi msigwa alimshinda polepole ??msigwa ni average politician anayehitaji akili ndogo sana kumzidi ila kwasababu ya ushabiki utasema ameshinda
  10. J

    Picha: Hawa ndiyo watu maarufu wasiopokea wala kutoa Rushwa

    Tundu lissu muondoe ni kigeugeu c mtu wa kumuamini
  11. J

    Walichofanya CHADEMA kwa ZITTO sasa kinajidhihirisha!

    Tutaaminije zile tuhuma alizobebeshwa zzk kama chadema ni wanafki hivi.lowasa walimuita kila jina baya leo wako tayari kumpokea ni democracy au democrazy
  12. J

    Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

    Shida ya wasanii Wa kwetu kutojishusha.Kiba ana kipaji sana ila mziki si kipaji pekeyake yapo mengi nyuma yake.Kuna kujitangaza,kujipendekeza na mengi kibao.mengi diamond anayo ila kiba abadilike bila hivyo hatutafika
  13. J

    Maumivu ya mapenzi

    Dah kwa hali hii utakua unapost kila Siku mana hayo ni mambo ya kawaida.
  14. J

    January amvaa Kingunge, asema anakivuruga chama (CCM)

    Ni mbunge wa kupigiwa kura.
  15. J

    Speech ya Magufuli

    Magufuli ameweka kumbukumbu nzuri sana kwa watz.Haihitajiki speech nzuri kumpata kiongozi mana aliyoyafanya yanajieleza.Nchi imekua ya mazoea zoea bila kiongoz mwenye element za udikteta tutabaki palepale.
Back
Top Bottom