Search results

  1. B

    Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Vichekesho kweli. Hii nchi Mungu aingilie kati tu. Inatia hasira sana.
  2. B

    Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassani kumuachia Harris Kamala kiti cha urais protocol inakuwaje?

    Comments zingine mpaka aibu. Wewe ndio umeandika ujinga.
  3. B

    Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

    Hiyo clip ina interview yote. Naona alianza mambo ya human rights kuhusu same sex marriage na alikuwa anadadisi msimamo wa serikali..
  4. B

    Je, wamejiandaa kuchezewa mchezo ule ule kila siku?

    Bahari ni chama cha 🥑 na ziwa ni wale wa upende wa pili. Huyo papa anayeandaliwa ni nani?
  5. B

    TANESCO: Matatizo ya Umeme kutengemaa ifikapo Februari 2023

    Aisee inasikitisha. Yaani hata aibu hawana. Wametufanya watoto wadogo. Clearly walisema tatizo ni ukame sasa wanakuja na stories nyingine. Initially hasira sana. Yaani, ninamchukia huyu waziri wa sasa Mungu anajua. Kwa wakati wake Mungu atamuondoa tu awake mtu mwingine responsible.
  6. B

    Mvua zimenyesha za kutosha mabwawa yamejaa, Makamba usije na visingizio vipya

    Mama please tuondelee kipara kwenye wizara. He is a complete disaster. Kama utaendelee kumlinda utakuwa unamkosea hata Mungu. Ametutesa sana Watanzania wa hali ya chini tunaotegemea umeme kuendesha maisha yetu.
  7. B

    TANESCO yaelezea undani wa tatizo la umeme wa mgao, yataja uhaba wa maji na matengezo ya mitambo

    I swear I don't like this guy at all. Mwinuka aliimudu hii wizara vizuri sana. Anyway ipo siku watajibu kwa Mungu tu kwa kutesa watu namna hii
  8. B

    Hata kama ni MC wa kukodi, kwanini akodiwe mtu aliyefungiwa?

    Watanzania kwa matusi! Mungu akurehemu. Yaani kujificha kwenye fake ID unajiona ni bingwa sana.
  9. B

    Kauli ya Tundu Lissu juu wabunge 19 waliofukuzwa

    MOD plz huyu user ni kero. Tunaomba mumu suspend
  10. B

    Serikali: Mgomo wa madereva uliotangazwa kuanza 25/04/2022 ni batili. Waandaaji kukamatwa na Polisi

    Wewe una roho mbaya sana. Nimekuwa nikifuatilia comments zako unapenda sana wenzako waki suffer. Mruhusu Yesu aingie moyoni mwako akuondolee hiyo chuki na roho mbaya.
  11. B

    #COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    This is bad and very insulting. Unakosoa uuambaji wa Mungu? Wewe hukuzaliwa na mwanamke ? Shame on you! You are disgrace. S
  12. B

    Rais Samia tafadhali acha kumnanga kila mara kimafumbo Hayati Dkt. Magufuli

    Ungeandika kwa kutumia Identity yako kama unajiamini. Who are you kumtukana rais ni mpuuzi? Unadhani ni vigumu kupatikana?
  13. B

    TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

    This is rubbish. Kuna evidence yeyote kuhusu hili? Haya matengenezo wanafanya kila mwezi? Kwani ni mara ya kwanza kusikia wakisema kuna matengenezo? Huu utawala kwa kweli hautoi ishara nzuri
  14. B

    Kuna mkakati Maalum wa Kuzibeba Timu za West Africa

    Hapana. Ile foul ni ya wazi. Makosa kama yale mareferee wameambiwa watoe straight red card .
  15. B

    Katelefoni nae asifurahie kaachwa hapana tunasubiri spika wa bunge apatikane.

    Sidhani kama hilo litatokea. Maana ni kwamba itabidi baraza la mawaziri livunjwe tena. Haita make sense baada ya mabadiliko ya leo. Muwe mnasoma katiba sio kuropoka tu.
  16. B

    Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

    Inaheshimika na nani? Upuuzi mtupu. Kufunga watu kwa kesi za uongo? Kununua wapinzani?
  17. B

    Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?

    Ikimbieni zinaa biblia inasema. Literally ni kwamba kushinda zinaa ni lazima kukimbia vishawishi vya zinaa. Kaa mbali naye, futa namba yake, mheshimu Mungu na mke wako pia.
Back
Top Bottom