Search results

  1. MC Chere

    Ibrahim Ajib mchezaji wa simba sc afunga ndoa

    Mmmh,napata ukakasi hata wa kumpa hongera huyu bwana,hata mwezi haujaisha kashavuta jiko?
  2. MC Chere

    NACTE : Udahili na uchaguzi 2017/18 wa Astashahada na Stashahada utafanyika moja kwa moja vyuoni

    Udahili tayari umeshafunguliwa,ningependa kujua sifa kwa ngazi hizo za kada ya ualimu zinasemaje kwa mwaka huu? najua kuna wengine mtakuja na majibu ya kuwa nitafute guide book/niingie kwenye website ya NACTE.Elewa tu kwa urahisi kuwa kwangu mm hapa ni njia nyepesi zaidi ya kupata majibu kuliko...
  3. MC Chere

    Lijue bati la msouth kisha linunue kwa bei ya kiwanda

    Kama mna mfumo wa installments,funguka tuone usalama wake.
  4. MC Chere

    Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

    Matokeo yakiendelea kubaki hivihivi,ni nani atasonga mbele coz GD wote itasoma 0?
  5. MC Chere

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah,i thought unaposema handicap 0:1 it means away team kama kufungwa basi ifungwe goal kwa difference ya 1,kumbe siyo,ila nimeshakaa vizuri
  6. MC Chere

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inakuwaje lost wakati austria wien nilimpa goli 1? it means ukiplus na hilo goli ni sawa na kusema FT 2-2 mtzmweusi
  7. MC Chere

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nyegere86 unahitajika hapa mkuu,ni baada ya kupata mtonyo wako wa handicap kwa mara ya 1 nikatoka hivi -WOLFSBERGER vs AUSTRIA WIEN,handicap 0:1 (FT 2-1) -LOKEREN vs GENK handicap 0:1 (FT 1-1) -TENERIFE vs LEVANTE,handicap 0:1 (FT 0-0) -LYON vs NICE,handicap 0:1 (FT 3-3) -RENNES vs...
  8. MC Chere

    Safari ya matumaini ya Manchester United imefika ukingoni.

    Man u is the champion of EUROPA CUP
  9. MC Chere

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata mm nilidhani kitu kama hicho,but ukichek mbon GD zao hazifanani ingawa wanapoint sawa?
  10. MC Chere

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani league 1 ya england imeisha lkn nakuta kuna game tena 2 siku ya kesho kati ya BRADFORD vs FLEETWOOD TOWN na MILLWALL vs SCUNTHORPE,ambapo FLEETWOOD TOWN & SCUNTHORPE wote wana point 82 ila SCUNTHORPE ana good GD,na kwenye msimamo ni kwamba 3.SCUNTHORPE 82 4.FLEETWOOD TOWN 82 5.BRADFORD...
  11. MC Chere

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu leo nataka nitoke hv. 1.Chelsea win 2.Lincolin win 3.Huddersfield win Total odd 7+
  12. MC Chere

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siumii juu ya stake niliyoweka,ila naumia kwa sababu ya everton kuwa wakala pekee wa kanji ktk mikeka yangu kwa kunikosesha 1.5m.
  13. MC Chere

    JF Hip-hop frestyle battle

    Umeota tu kipara/ Kumbe hakina busara/ Unautukuza ufukara/ Kwa ubovu wa zako sera/ Ulipowahonga lile pera/ Wakakuona ndiyo bora/ Hawakuchunguza yako sira/ Kabla hawajapiga kura/ Unajigamba kutia fora/ Ukituzwa kwa ufukura/ Mipango ya kichwara/ Taifa lakosa dira/ Uchunguzi wa masikhara/ Hali...
  14. MC Chere

    JF Hip-hop frestyle battle

    Daby nipo ndani ya steji/ nimemkamata pacha wangu MIC/ Nikamatie kipere/ abattle nami ni mnyoe kipara/ Mbele ya mtoto shunie/ Wallah nitasepa na mkoa/
  15. MC Chere

    JF Hip-hop frestyle battle

    Umekuja kushoboka/ Sasa ukuta utaushika/ Kwanza nikuulize umesuka? Na si ndo ww kwapa kunuka? Fasta nitaibuka/ Nikupe zile za Ulimboka/ Hivi kwanza unakumbuka? Vile kucha zilivyong'oka? Fasta nitakuteka/ Kwa ujio wa kama paka/
  16. MC Chere

    JF Hip-hop frestyle battle

    Ha ha ha ha! Msiwe so fast mkajiona mnaweza/ nawacheki tu kitambo/ mnavoyahusudu makombo/ tena kwa maneno ya shombo/ the don ndani ya chimbo/ niguse nikutindue na wangu mtaimbo/ we askari mgambo/ kivipi unitishe mm tembo?, LARA1 USILETE UREMBO/ UNAPOISHI KWA MAMA WA KAMBO/
  17. MC Chere

    Pikipiki inauzwa

    Ahsante mkuu,mm nina uhitaji na FEKON cc 150.
  18. MC Chere

    Pikipiki inauzwa

    Ni cc 125 au 150?
  19. MC Chere

    Mwenzenu yamenikuta, Ijumaa kuu naiadhimisha kwa kuibiwa mzigo dukani

    Hahaha,mshana jr na mzizi mkavu usikute pamoja na mada zao wanaweza kuwa hawafanyi hizo mishe.
  20. MC Chere

    Mwenzenu yamenikuta, Ijumaa kuu naiadhimisha kwa kuibiwa mzigo dukani

    Dah ahsanteni wakuu,naendelea kutafakari ni namna gani nitalisolve hili jambo.
Back
Top Bottom