Search results

  1. born to win

    Perfume za kupima oil based

    Ahsante sana nimefanikiwa
  2. born to win

    Perfume za kupima oil based

    Ahsante mkuu
  3. born to win

    Perfume za kupima oil based

    Wadau wapi zinapatikana perfume za kupima (oil) kwa bei ya jumla zikiwa namna hii?
  4. born to win

    Introverts Vs Relationship

    Introverts wakike ndio wanapata tabu sana kwenye mahusiano kuliko wakiume
  5. born to win

    For JamiiForums Mobile users

    Njia nyepesi ya kuweka link kwenye thread,nawe njoo upate ujuzi hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. born to win

    Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    naomba kuuliza mtu naposoma HKL, HGK, HGE, anapofika chuo anaweza kusoma nn maana dogo alisomea masomo ya biashara lakn akapata hivi civ: C His: D Kisw: C Eng: B Bio: D GEO:D Maths: F Comm:D B/Keeping: F yeye alikua anataka kusoma ECA, HGE ushaur wenu tafadhal
  7. born to win

    The different types of women

    ingependeza zaidi kama ungeandika kwa lugha ya kiswahil ili wengi waelewe vizur zaid
  8. born to win

    Jamani Wachagga mbona mnatutesa hivi hapa Ubungo Terminal?

    watasafir tuu usihuzunike tarehe zao bado hata hal iwe ngumu vipi wachaga watasafir tuu wanawekaga bajet ya mwisho wa mwaka kuanzia mwez wa kumi watalia hal ngumu kwenye biashara lakn ukiwakuta kwao utashangaa wanavyokula bata kuanzia tarehe 15 utapata wateja
  9. born to win

    Tupeane maujanja ya Excel

    ndio mkuu mfano john 70 70 60 80 =100 lucy 30 20 50 10 =200 60 50 59 78 =500 huyo mwenye namba kubwa apande juu mwenye ndogo ashuke
  10. born to win

    Tupeane maujanja ya Excel

    mkuu nahitaj kupanga matokea ya mtihan ambapo nimeshafanya total ila nataka mwanafunz mwenye maksi kubwa awe wakwanza kwenye page bila kuwapa namba 1,23... nitumie formula gan
  11. born to win

    Tujuzane tofauti za demu na mpenzi

    sijafananisha hapo nimetoa maana ya neno demu kwa kiswahil fasaha ili hao wanaolitumia wajue kwa nn mtu hapend kuitwa hvyo unakua umemzarau kama kitu kisichofaa cha kutupa
  12. born to win

    Tujuzane tofauti za demu na mpenzi

    demu- ni aina ya kitambaa kilichochakaaa
  13. born to win

    Jovin Kwanini unataka kumfukuzisha mume wangu kazini?

    mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
  14. born to win

    Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

    buzi lisilochunika halitakiwi kwa hlo jina yatosha
  15. born to win

    Wauza smartphone tukutane hapa

    nauza tecno H5 90000
  16. born to win

    Ni wapi wameandika/kuagiza mwanaume amuhudumie na kumpa matunzo mwanamke?

    kama huwez kuhudumia achana na hizo habar usianze kutafuta wap pameandikwa sema yamenishinda
Back
Top Bottom