Search results

  1. iloveguinness

    Rest BBQ asipoangalia atapotea kwenye ramani ya biashara za mtandao

    Hv mtu unaposoma subject si unaelewa kabisa hii ni mada ya nini! Sasa unaingia na ku comment ooh mada ya kike mara imekaa kimbea, we binafsi huja lazimishwa kuisoma wala kuchangia!! This is a boring habit🥱🥱🥱🥱
  2. iloveguinness

    TANZIA Charles Keenja na mkewe wafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Seifee

    Ni msiba mzito kwa wanafamilia, Mungu awatangulie wafiwa. RIEP Mr. & Mrs Keenja🙏
  3. iloveguinness

    Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

    Sasa story imeishia vipi?
  4. iloveguinness

    Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

    Kumpiga anaye kujua usirini ni hatari sana pamoja na udhaifu. Kama haambiliki rudisha kwao, wazazi wake wampige sitaki kesi.
  5. iloveguinness

    TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

    Pumzika kwa amani Prof. Mbwette🙏
  6. iloveguinness

    Juma Lokole: Nina PhD kutoka UDSM

    Labda ya kuroga🥱
  7. iloveguinness

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Customer care yao ni mbovu sana. Walishakula hela zangu na service sikupata.nikawaandikia email kupitia website yao wakanijibu utumbo.
  8. iloveguinness

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kila siku ikifika saa tisa usiku mnakata hovyo umeme mtatuunguzia vifaa vyetu! Pili hizi luku zenu mpya zinakula sana umeme, umeshaona wapi mtu anatumia umeme wa elfu 10 kila baada ya siku 2???? Mi nataka mnirudishie luku system ya zamani huu ni wizi.
  9. iloveguinness

    Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

    Hiyo ni very ignorant way thinking, kuna vipengele vya sheria vinavyo wapa haki wahusika ya ku contest the will especially cama hakukuwa na consideration. Jisomeshe kidogo sheria huwezi jua ukawa next😎
  10. iloveguinness

    Padri aingilia ndoa ya Stamina, awaita kanisani na mkewe

    Msipo kuwa kwenye page moja ndoa inakuwa chungu balaa, hasa itokee mmoja awe mmbishi au mkorofi i.e. mkoloni. Ndugu Padre hapo yahitaji busara ya juu sana maana hawa wawili wana onekana vichwa maji.
  11. iloveguinness

    Stamina kaiba wimbo wa Dizasta Vina. Ushahidi huu hapa

    Visa na beats tofauti kabisa
  12. iloveguinness

    Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

    Kipigo ni dalili ya weakness ya kutojiamini, narudia demu kazingua changanya lapa hakawii kukutilia sumu. Unajidanganya kumpiga usiku anakusubiria anakunyofoa nyeti. Au anasubiri usahau anakuundia timu ya alshabab kitaa.
  13. iloveguinness

    Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

    Mwanaume yeyote anaye nyanyua mkono kumpiga mkewe/demu wake atakuwa na mapungufu katika malezi au mpaka yeye binafsi. Kama mapenzi yanazingua chomoa weka chuma kipya.
  14. iloveguinness

    Jinsi ninavyobaguliwa na Watanzania wenzangu Tanzania

    Ndio wabongo tulivyo, mi nikiingia sehemu nakunja sura kwanza, naongeza makonfidensi mara 100 utaona wahusika wenyewe wanaanza kukunyenyekea. Ukienda kiupole pole dharau zao wana onesha waziwazi.
  15. iloveguinness

    Jinsi Waumini wa Parokia ya Mt. Mikaeli Kawe Walivyomzuia Paroko Kusoma Misa

    Duh huyo Paroko amekuwa akilalamikiwa toka 2010! Heri wamuhamishe tu kwa usalama maana wasije waka muwinda kwa inje maana Kawe hawajui kukaushia. Na hivi ni mtu wa totoz hasa married women.
Back
Top Bottom