Search results

  1. N

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Ni lazima awe na mahali pa kuanzia... Ni kazi ngumu kinyume na wachambuzi wetu wanavyojitahidi kuonesha kwamba eti anaweza ndani ya siku 30 kubadilisha mifumo YOTE single handedly! Hata SUPERMAN hawezi
  2. N

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    Dah! ajijengee kikosi madhubuti cha ulinzi kabla hajaanza kukamua majipu SUGU...!
  3. N

    Joseph Haule (Profesa J) speed 200 ni utekelezaji tu

    Mabomba yote ya yatatoa maziwa! Ndiyo mzee!! Nitaweka lami barabara hadi chooni! Ndiyo mzee! Ndiyo mzee!!... Kuna mwenye swali??? Siyo mzee!
  4. N

    Dr. Mwakyembe anaweza kushinda kesi dhidi ya Mwanyamaki

    Hili halina mjadala; aliyeshinda kesi anajulikana, mengine mapambo tu...
  5. N

    Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Msimamo wa kuvilinda vitalu vyetu vya gesi ni ULE ULE, na waziri ni YULE YULE
  6. N

    Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    Huyo mjeshi ni kama anatamani amsaidie first lady hivi!...
  7. N

    Msaada: Natafuta annointing water ya T.B Joshua

    Mwacheni bana. Uamuzi wowote atakaoufanya ni sahihi iwapo havunji sheria/ katiba ya JMT.
  8. N

    Hivi kwanini elimu ya chuo na chuo kikuu isiwe bure kwa kila mtanzania

    There's no free lunch...Hebu nielimisheni; kuna nchi yoyote yenye uchumi unaokaribiana na kwetu inayotoa elimu ya juu BURE?
  9. N

    Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

    Bado wengi wenye majipu, waliotumbuliwa na watakaotumbuliwa wanakuja huko kutafuta faraja. Hapa ni kazi tu.
  10. N

    Uhuru Kenyatta: The New "Vasco Da Gama"?

    Ina maana hata mwezi haujaisha keshalamba ticket tatu?? dah!
  11. N

    Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Sijaiona t-shirt mahali popote imeandikwa Friends of Magufuli. Usilazimishe uwepo wa kitu kisichokuwapo...
  12. N

    Mauza uza: Maalim bado anatumia Huduma za Serikali ya Zanzibar

    Vyeo, ofisi, bendera na stahiki za viongozi walioko madarakani i. e. pikipiki haviwahusu. Maalim Seif bado ni makamu wa kwanza wa rais HALALI kabisa
  13. N

    Makamu wa Rais amuwakilisha Rais Magufuli kwenye mkutano kati ya nchi za Kiafrika na China, SA

    Xi Ping akusemeshe KICHINA wewe umjibu KIDHUNGU! Kama si utaahira ni nini? Hizo ndio ajira za WAKALIMANI wetu...
  14. N

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Tumechoka kuwachekea nyani! Tutaambulia mabua hadi lini?? HAPA KAZI TU!
  15. N

    Waraka wa Dharura: Wafanyakazi wa TRA wameamriwa kutoa taarifa za madeni na mali zao

    Watoto watahojiwa wamepataje majumba ya fahari yasiyoendana na umri wao na nguvu zao za kiuchumi? kama kweli JPM kaamua kwa dhati; wengi watalia...
  16. N

    Makontena yaliyokamatwa jana na TRA yabainika yalilipiwa kodi

    Usimchezee mtu aliyeshika RUNGU... Labda umbembeleze akumbuke fadhila vinginevyo atakuumiza. Muulize marehemu Chiluba...
  17. N

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    Ile ya Mganda ilikuwa kali zaidi. Amejitahidi lakini na wengi hawajamwelewa...
  18. N

    Upinzani ni hatari

    Hivi vizungu vingine...!
Back
Top Bottom