Search results

  1. B

    FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    Sema ingekuwa Yanga ungekuwa mpira baasha
  2. B

    Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Kwahiyo tffa nao hajui maana ishu tu ya kuingia finally yanga yakaja mafile ya simba kuingia finally 1993 hili la ligi vipi mbona wamekaa kimya
  3. B

    Top 5 Greatest Players Of All Time!

    Kwani Ronaldhino kuna kombe gani hajachukua akiwa barca na timu ya taifa kwa mchango wake?
  4. B

    LIVE: YANGA SC Vs IHEFU FC

    Kwahiyo Dotmund amechukua ubingwa mara nyingi kuliko munich sio?
  5. B

    Tunamsifu Bernard Morrison, ila kwa 75% hana Msaada kwa Simba SC na ni Mzigo, lakini kwa 25% ndiyo huwa anatusaidia

    Sure tena akaandika na kwenye page yake kwamba anajilinda asije kupigwa uviko19 .Kweli alishajiona mess[emoji16]
  6. B

    Bingwa wa UEFA msimu huu anaweza kuwa Liverpool au Bayern Munchen

    Soma vizuri anachoongelea jamaa
  7. B

    Bingwa wa UEFA msimu huu anaweza kuwa Liverpool au Bayern Munchen

    BINGWA LIVERPOOL NO DOUBT!!!
  8. B

    Dkt. Slaa aliwashauri Zitto na Mbowe wakubaliane kuachiana Uenyekiti

    Hivi jamaa sasahivi cheo chake huwa kinagombewa huko alipo[emoji16]
  9. B

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

    Hapo hakuna msanii
  10. B

    Makonda ashtakiwa kwa Bashiru, hakika wameamua kumzuia Paul

    Jamaa alivyoona mshikaji katumbuliwa akajua ndio basi tena hata ccm hawamuhitaji [emoji16]
  11. B

    Rais Magufuli: Dar es Salaam ni kama mikoa mingine sasa

    Dar ndio New york ya tz
  12. B

    Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

    Huko kaenda kwa mamuzi yake mwenyewe na sio hiyo sababu uliyoitaja ya kitoto.
  13. B

    Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

    Boss mwenyewe alimpigia jamaa simu live, pia wanafanya biashara pamoja.Sasa wasielewane na mfanyakazi wake kisa kamtaja huyo jamaa si angeenda huko alikotaja
  14. B

    Mbabe wa vita ni Urusi na Uchina, kwa sasa naona Marekani ni wa tano

    Nimejifunza kitu, vitamin kama hivi ndio vinahitajika kwa afya.
  15. B

    Taasisi ya Urais chini ya Amiri Jeshi Mkuu siyo sehemu ya vichekesho

    Kwani jamaa ameshtakiwa kwa kosa gani? Si ameshtakiwa kwa kutumia line ambayo sio yake.Sasa kama ilo wewe unalosema ndio kosa y mashtaka hayasemi hivyo.
  16. B

    Ni mpaka lini Kaka Kassim atakuwa anamuogopa na anamfumbia tu 'Mafumbo’ mdogo wake Paulo?

    Kiongozi acha kabisa mzaa unakumbuka sakata la mawingu fm, Nape alivyotaka tu kumchunguza huyo jamaa na lile tukio kilichofata nini? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom