Search results

  1. Mitchell

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    🤣 🤣 🤣 aloh nimecheka sana kwa kweli hapa umempatia na umbea wake
  2. Mitchell

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    🤣 🤣 🤣 🤣 haya bebeni naona mmemkamia sana
  3. Mitchell

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Ila Waja khaaa .......Mtu kashakuwa marehemu ila bado una nongwa, utadhani umaskini ni sifa. Sasa mtoto azalie kwa baba ake wewe huku upate mtoki. Acha hizo mwacheni baba wa watu apumzike chukueni mema yake mabaya muachieni mwenyewe.
  4. Mitchell

    Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Kwa kweli hapa ni changamoto na mateso makubwa, mie wa Mkoani nilikuja hapo kikazi imagine kwa siku mbili tu nikaona mwaka, nikawaza ivi ningekuwa mkazi wa hapa na hawa wanangu (pacha) siku waumwe ikanilazimu kuwa hospital asubuhi na dada wa kazi hapa tunapandaje haya madude ? Leo umenikumbusha...
  5. Mitchell

    Mkiambiwa mke wa mtu sumu nimeamini sumu kweli

    Na sumu ikaingiaje apo? nimecheka lakini
  6. Mitchell

    Kama huyo mkeo hujamkuta bikra fukuza huyo mzinzi

    Kwani imekuaje mbona ghafla sana
  7. Mitchell

    Elon Musk anakaa tu na wanawake haoi wewe kapuku unapambana

    Punguza ushauri, watu wana mipango yao tayari.
  8. Mitchell

    Wazazi mlio na watoto vyuoni shtukeni

    Uko sahihi kabisa Mkuu na wala sikatai, wengi wametoka huko ila ukiwaasa hawasikii kabisa utasema wakiwa huko Mjini akili zinahama na huo udadisi ndio shida inapoanzia kumbuka "curiosity kill the cat"
  9. Mitchell

    Wazazi mlio na watoto vyuoni shtukeni

    Umemamliza mkuu, tatizo ndio hilo tuu hawa mabinti hawasikii jamaniii
  10. Mitchell

    Kwa mchepuko round nyingi kwa mke kimoja chali

    Sasa jamani kama tumechoka tusiseme 🤣 🤣
  11. Mitchell

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Jamani nimesikitika kwa kweli hakukuwa na sababu ya kumpiga kiasi hicho, mbona alianza tu kusogea mwenyewe, mtu amejitokeza kwa mapenzi mema amuage Marehemu anaishia kurudi nyumbani na ngeu khaaa mpaka hata huyo mwenzie hapo kamshangaa. Huyu mlinzi mwendawazimu kweli achukuliwe hatua
  12. Mitchell

    Naona aibu kutoa 10,000 kwa teller maana sina ATM card wala sim banking

    Yesuu aibu kwa hela yangu, ebu nenda katoe aisee
  13. Mitchell

    Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Pole sana Mkuu, Mwenyezi Mungu tabibu wa wote akuponye Amen
  14. Mitchell

    Taja sifa za wanawake waovaa hivi

    Jamaniiiii 🤣
  15. Mitchell

    Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

    wanakuelewa sasa ? waaiiii yaani hawajifunzi hataa
  16. Mitchell

    Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

    Usijaribu aisee huyu sie, sema na wewe hushauriki na uyo Mama J wako woh
  17. Mitchell

    Kuna wanawake Wana roho mbaya, aibu hawana na kujificha hawawezi

    Wewe ndio umeyataka kumpeleka mtoto mgonjwa huko ona sasa, yaani hadi nimemchukia uyo Mama J wako mtoto hapo kosa lake ni nini? Two years jamaniii. Hitaji langu kwa Mwenyezi Mungu kila leonamuomba anipe umri mrefu nilelee wanangu jamani mpaka tumbo la uzazi limenicheza. Wanawake tubadilike...
Back
Top Bottom