Miaka ya 90 ndipo tulipoanza kuagiza gari za Japan na watu wakayaita MASHANGINGI wakimithilisha na Wanawake wenye maumbo makubwa na matako makubwa ambao walikuwa wanaitwa SHANGINGI enzi hizo na hiyo ilitokana na muundo wa magari hayo ya Nissan Patrol kutofautiana na Land Rover yaliyokuwa...
Rais alivunja Baraza la Mawaziri mara mbili. Ya kwanza ni around January/February 1990 na ya Pili ni Ile ya 1994. Ile ya January 1990 ilitokana na tuhuma kuwa Kuna Mawaziri wengi wanakula Rushwa na Serikalini Rushwa imejaa huku mambo hayaendi. January 1990 Waziri Mkuu alikuwa Joseph Warioba na...
Katiba Mpya ni muhimu sana kufanikisha mabadiliko mbalimbali tunayopigania. Nguvu za Viongozi wa CCM na hata katika kulitumia Jeshi la Polisi Kisiasa inatokana na ubovu wa Katiba ya Sasa
Sikufahamu kama Manzese, Tandale, Mburahati, Kigogo, Kinondoni Shamba, Msasani na vitongojj vingine ambavyo ni squatters na ni miji ya Kale ilianzishwa wakati wa Mwinyi.
Despite kwamba Dar es Salaam imejengwa Vibaya lakini hakukuwahi kuwa na Mpango wowote wa kuijenga kimpangilio Kwa Serikali...
Kichwa kwenye Nini?
Nyerere ndiye aliyeharibu Uchumi wa Nchi hii Kwa maamuzi yake ya hovyo kwenye Ujamaa, Utaifishaji Mali, Kuminya Uhuru wa kujieleza, kuua Elimu, kuingiza nchi kwenye vita ya Kagera bila sababu na hata kuiingiza nchi kwenye gharama za Ukombozi Kusini mwa Afrika bila sababu za...
Eti Malaria 2 una undugu na Malariasugu?
Maana miaka kadhaa iliyopita alikuwepo member Anaitwa Malariasugu na yeye posts zake aidha ashabikie CCM au Uislam
Tabora Dodoma ni kati ya Kilometa 370 Kwa reli au 384 Kwa barabara wakati Tabora Kigoma ni Kilometa 420 Kwa barabara. Kutoka Tabora kwenda Kigoma ni mbali zaidi kuliko Tabora kwenda Dodoma. Tabora to Mwanza (354 Km) ni karibu zaidi kuliko Tabora- Dodoma (380Km) au Tabora -Kigoma ( 420Km)
Hii Yanga isiyo na kiungo wa pasi za magoli
Isiyo na fowadi wa maana
Isiyo na kiungo wa ulinzi wa maana
Isiyo na Hela
Ikijitahidi saaana itashika nafasi ya 4 kwenye Ligi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.