Search results

  1. U

    Report card ya wabunge wa Dar: Halima Mdee

    Kweli unakaa jimbo la kawe? nimelkaa jimbo la kawe miaka 15 Halima ndio mbunge pekee nimemuona na akitembelea jimbo tuache siasa mama mlaki na adamjee hawajui njia ya goba
  2. U

    Ukifikiri kama nyundo,kila kitu kinaonekana kama msumari

    Suala lililotokea mbeya siku mbili zilizopita ni kitu hatari sana ambalo viongozi wetu tulionao naona kama wanafanyakazi kwa mazoea tuuu. Yaani nitaamka dereva atakuja kunichukua nitaenda ofisini, secretary ataniletea chai na vitumbua tutaingia kwenye kikao tutafanya maamuzi bila kufikiri...
  3. U

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Umeme umekatwa tanzania nzima
  4. U

    Management By Loitering

    loi·ter (loitr) intr.v. loi·tered, loi·ter·ing, loi·ters 1. To stand idly about; linger aimlessly.
  5. U

    Management By Loitering

    Naamini kuna aina nyingi za management lakini hii mpya ya JK ya Management By Loitering siielewi maana anapita kila wizara ana sababisha foleni tuuu mjini bila kutoa ufumbuzi wa jambo lolote. Bora akae magogoni na awe anafungua semina na makongamano mpaka 2015 tuchague mtu mwingine.
  6. U

    Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

    chadema kura zaidi ya 50,000 ccm around 30,000
  7. U

    Elections 2010 Vituko vya Maswa

    Huko maswa imetangazwa na channel ten kuna kituo kiko 150 mts (nyalikungu) kutoka ofisi za msimamizi wa uchaguzi matokeo yake hayajamfikia msimamizi. lakini kuna box za kura zimetoka zaidi ya 50kms yameshafika. Yaleyaleeee
  8. U

    Elections 2010 Wito wa kukamatwa kwa mnajimu

    Jamani kuna watu wengi tuu wako mahakamani na wengine jela kwa kutishia kuua kwa maneno huyu anapaswa kuwa jela
  9. U

    Je Kuna kampuni zime block blogs zisionekane?

    Wadau tangu juzi nimekuwa nikipata shida kutazama baadhi ya blogs za TZ, je inawezekana kuna kampuni zimeblock zisionekane?? blog ya francisgodwin sasa ya issamichuzi au wenyewe wamezitoa ukumbini?
  10. U

    Elections 2010 Nimesikitishwa sana na kauli ya Mkapa pamoja na JK

    Burn hajazungumzia damu iliyomwagika Tabora
  11. U

    DAR-ES-SALAAM ndio TANZANIA tuuuu basi

    Hizo Machinga Complex za Dar zimeshaanza kutumika? Nimeamini huyu ndugu yetu uwezo wake ni mdogo kupindukia
Back
Top Bottom