Je Kuna kampuni zime block blogs zisionekane? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Kuna kampuni zime block blogs zisionekane?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by udongo, Oct 31, 2010.

 1. u

  udongo Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau tangu juzi nimekuwa nikipata shida kutazama baadhi ya blogs za TZ, je inawezekana kuna kampuni zimeblock zisionekane?? blog ya francisgodwin sasa ya issamichuzi au wenyewe wamezitoa ukumbini?
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Blogs nyingi ziko slow sana sasa sielewi kunani au ndio wameanza kubana bandwidth ili kutransfer data zao
   
 3. c

  cesc Senior Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mi zinafunguka...may be ni network tu..try again
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kwa mfano me natumia Zantel kuna baadhi ya page za jamii nikizijibu unashanga ina stack kupost ni mpaka urudierudie kwa ujumla nadhani bandwidth imeminywa kupunguza mawasiliano kwa kasi
   
Loading...