Elections 2010 Vituko vya Maswa

udongo

Member
Oct 28, 2010
14
0
Huko maswa imetangazwa na channel ten kuna kituo kiko 150 mts (nyalikungu) kutoka ofisi za msimamizi wa uchaguzi matokeo yake hayajamfikia msimamizi. lakini kuna box za kura zimetoka zaidi ya 50kms yameshafika. Yaleyaleeee
 
Back
Top Bottom