Mimi ni muajiriwa lakini pia huwa nafanya kazi zangu binafsi za kuandaa financial statements, and other Accounting issues like VAT etc, nilikuwa natafuta mtu wa marketing, awe ameajiriwa au hajaajiriwa, ambae atatafuta wateja kwa muda wake yaani wateja wataokuwa wanataka kufanyiwa uhasibu...
Namba uloitoa haipatikaniki...nisaidie kujua examination fee na vikolokolo vingine yaani jumla yote ili kabla sijaja kusoma, nijue natafuta shilingi ngapi....Thanks
mi nipo hapa...sema uliomba kitengo kipi? pia uje hr ufatilie..ukikaa mbali kuna wenzio wana shida zaidi yako, na wengine wanaletwa na wazazi wao...so wewe njoo ulizia mchakato upoje....
Afu pia, do analysis kabla ya kuropoka,,,utasutwa bure siku nyingine, nani kakwambia yupo hapa mjini? we ng'ang'ania tuu kwenye hili jiji kunuka la dar, utakufa unaendesha ki-vitz tuu....
Sasa mapovu ya nini dada...:smiling:? kwa taarifa yako, ile kazi sikuwa namjua mtu, na wote tuliopata tuliitwa fresh from school, na hilo kabila unalijua wewe unalosema,na pale tulikuta kuna ukabila wa kichaga, ila mie mtu wa nyanda za juu kusini, na kazi yenyewe ilitangazwa 2010 november...
Pole mkuu, ila usiache kuomba hata moja, mimi kazi yangu ya kwanza niliyopata, walitangaza nafasi tatu za watu kwenye auditing firm (medium), afu experience ya 3 years, na mimi nilikuwa ndo nimetoka chuo,nikatuma tu hivo hivo,mungu mkubwa nikapata kazi......kuja kucheki CVs za watu nilioapply...
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
VACANCIES
The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified
Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following
vacant posts:
1. (a) Job Title: Director of Human Resource and
Administration
(1 Post)
(b)...
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
VACANCIES
The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified
Tanzanians to be considered for immediate employment to fill the following
vacant posts:
1. (a) Job Title: Director of Human Resource and
Administration
(1 Post)
(b)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.