Search results

  1. amaruge

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Vijana Jazz (Hemed Maneti) - Mwisho wa Mwezi
  2. amaruge

    Polepole: Cheche zangu hizi hapa

    Economic benefits vs Financial profits
  3. amaruge

    Wale mlochaguliwa CUHAS yajue baadhi ya mambo

    Catholic University of Health and Allied Sciences formerly Bugando University College of Health Sciences
  4. amaruge

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nina malike mapya, kila kona wananipa!
  5. amaruge

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nina malike mapya, kila kona wananipa!
  6. amaruge

    Tunamshambulia na kumponda sana, ni haki yetu ya kikatiba lakini tunavuka mstari wa ustawi wa nchi yetu

    Ukiheshimu wengine lazima utaheshimiwa. Huyu wa kwetu hana adabu na anajiona yy ndo Mungu. Wanaomuheshimu na kumstahi ni wale wachache walio karibu naye sana na wanaopata chochote toka kwake ili wasikikose. Nadhani mtoa mada pia yupo kwenye hilo kundi la wachache.
  7. amaruge

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mi nina shida kama za likes 5,000 hivi na ushee! Tehe tehe tehe... mtanipa?
  8. amaruge

    IGP Sirro: Mjadala wa Tundu Lissu kupigwa risasi ufungwe mara moja

    Anasema hataki malumbano na familia. Kutukataza tusiongelee maswala ya Lissu, kwa tafsiri rahisi ni kwamba ametangaza malumbano na wananchi walipa kodi zinazomfanya yeye atukataze tusiongee! SHAME
  9. amaruge

    Kadinali Pengo ni mnazi wa CCM

    Bora uwe na pengo mdomoni kuliko kichwani.
  10. amaruge

    Kardinali Pengo: Tumuombee Rais Magufuli

    Huyu nadhani yale malimao na maharage ya watu bado yanamsumbua. Ngoja gwaji aliamshe dude!
  11. amaruge

    DAR: Mbunge wa Mikumi Joseph Haule (Proffesor Jay) CHADEMA,avunjiwa nyumba yake

    Haya ndo madhara ya kuchagua viongozi ambao wakati wakiwa watoto walishawahi kuugua ugonjwa wa kwashiorkor. Ajali, ushamba na ulimbukeni wa madaraka.
  12. amaruge

    Kiwewe kizito chawakumba walioshiriki au kushirikishwa katika jaribio la kigaidi la kumuua Mh. Tundu Antiphas Lissu!

    Huu uzi ni kwa watu wenye akili timamu tu na si vinginevyo.
  13. amaruge

    Kujenga ukuta Mererani haitaweza kutatua tatizo la utoroshaji wa madini

    Mi naunga mkono kujenga UKUTA tena kama ule wa september mosi mwaka jana uliozuwiwa na watu wanaojulikana na magari yao yanayowashwawashwa. Tehe tehe tehe .......
  14. amaruge

    Msemaji wa Serikali: Anayetuhumu anaweza kuwa mtuhumiwa namba moja

    Kumbe serikali siku hizi inatoa matamko kwa niia ya Tweeter?!
  15. amaruge

    Jaji Mkuu: Tusijifananishe na Kenya, Mahakama zetu zipo huru zaidi

    Mi nilikuwa hata simfahamu wakati akikaimu. Hebu tumpe muda inawezekana ni strategy yake ili ajulikane, u never know. I dont see the light at the end of the tunnel.
  16. amaruge

    Serikali yagoma kuwepo kwa uchunguzi huru juu ya Tundu Lissu, wadai kwani kibiti walikuja wazungu?

    Jamani mmeshasahau mara hii kama sikosei shambulizi dhidi ya padre kule zanzibar mbona walikuja FBI na mtuhumiwa akapatikana mara moja kwa kukonstruct image ya mtuhumiwa iliyobakia kwenye jicho la victim.
  17. amaruge

    Paul Makonda amehamisha show room zote za Magari, Kuanzia January 2018

    Zero ni zero tu, yaani BASHITE will always remain costant like pi. Huyu jamaa hajawahi fanikisha jambo hata moja la maana. Ukiona hivyo ujue kuna mtu anatafutwa hapo. Wengi wasiopenda hiyo move wataelekea Pwani maeneo ya kibaha, bagamoyo na kwingineko. Watamuachia mkoa wake. Eneo walilomdhulumu...
  18. amaruge

    Ukimchangia Lissu kwa kutuma hospitali moja kwa moja

    Hizo pesa nadhani hazijatumwa kwa maelekezo toka juu. Lengo lao ni kuona TAML anakufa. Wachawi mtahangaika sana. Pray 4 Lissu. Tuendelee kumchangia shujaa wetu jamani. Msikatishwe tamaa na hawa wachawi. Hawa tumemuachia Mungu apambane nao.
Back
Top Bottom