Search results

  1. kinjumbi one

    Bakhresa Company upande wa television mnatunyanyasa Watanzania kwa vifurushi vya kulipia

    Sio suala la gharama, bali watanzania ujamaa umewaharibu. Kama suala la haki za msingi za kupata Habari, si kunachanel za bure amewaachia! Ikiwemo tbc itv na ya mziki eatv na ya wanyama safari tv mnataka nini zaidi? Sula la mpira siku hizi ni suala la ki biashara na meona anatia mabilioni ya...
  2. kinjumbi one

    Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Mkuu Shukrani sana kwa kunipa mwanga wa kuanzia. Vpi kwa uzoefu wako hiyo orodha hapo itatosha kiasi nilichoainisha hapo juu? Yani 20 million
  3. kinjumbi one

    Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

    Habari. Naomba ushauri kwa mwenye uzoefu wa biashara ya hadwere, nina mtaji wa 20, m nahitaji kuanza biashara hiyo. Naomba mchanganuo wake, namna ya kubalance ili itoshe. Natamani nianze na cement, mbao, bati, na vitu nyengine vidogo vidogo vya dukani. Biashara nataka kufungulia mikoa ya...
  4. kinjumbi one

    Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

    Boda boda gani inayouzwa milion 2?
  5. kinjumbi one

    Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

    Tatizo anaegongwa anawasimulia namna alivyogongwa wasio gongwa.
  6. kinjumbi one

    DSM: Namna ya kupata line za chuo Halotel na Airtel

    Mambo ya miaka minne iliyopita, una jibu leo?
  7. kinjumbi one

    Msaada kwa anayepajua Mangaka wilaya ya Nanyumbu

    Mkuu nimehamisha biashara. Ila pako vizuri. Ndani ya miaka miwili niliokuwa pale nimepandisha mtaji fresh tu. Sababu iliyonifanya nihame ni kutokana na usamamizi familia ipo dar
  8. kinjumbi one

    Hali ya biashara imekuwa ngumu mno, hasa maeneo yenye vibanda vingi

    Yani ni maumivu kwakweli. Basi gongolamboto nako sio mchezo, vibanda kama vyote .
  9. kinjumbi one

    Hali ya biashara imekuwa ngumu mno, hasa maeneo yenye vibanda vingi

    Hali ya biashara imekuwa ngumu mno, hasa maeneo yenye vibanda vingi. Pamoja na kuwa kila mtu anafuta riziki, lakini ukweli lazima tuseme. Ongezeko la watu wanaojenga viduka pembezoni mwa barabara imeuwa kabisa biashara kwa sisi tuliondani ya maduka. Ushauri kwa serekali hivi vibanda vinaua...
  10. kinjumbi one

    Biashara Kumi (10) Unazoweza Kuanzisha na Kufanikiwa Kimaisha

    Ingekuwa ni rahisi hivyo watu wote wa huko wangekuwa matajiri. Ukweli ni kwamba kila biashara haikosi changamoto. Kwanza aina hiyo ya biashara kuweka stock imepitwa na wakati. Labda kama wewe umesha develop kwamba una maduka yako ya jumla una mashine zako, ndo unaweza kufanya hivyo.
  11. kinjumbi one

    Ni Hospitali gani ya Umma (ya Serikali) hasa hasa Mkoani Dar es Salaam yenye Huduma Rafiki ya Kung'oa Meno?

    Mkuu, mnazi mmoja wapo vizuri sana. Na mbagala kipati ya binafsi lkn, inaitwa sabrina ipo poa pia.
  12. kinjumbi one

    Biashara zangu 5 za wakati wote kwa hapa Dar es Salaam

    I Ingekuwa hiyvo, watu wanaouza vitanda, magodoro, tv radio, na vengne yasingefunguliwa maduka ya aina hiyo.
  13. kinjumbi one

    Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

    Hilo nalijua, ndiyomaana hata mimi ktk comment yangu hapo nimesema mkoa wa tanga, sikusema jiji la tanga. Ki ujumla nimeshangazwa na watu wa tanga.
Back
Top Bottom