Search results

  1. M

    Mi nawaambia TIGO wanatuibia!

    Jamani AIRTEL ndo wamezidi, karibu mwezi sasa makato yao ni zaidi ya sh2 kwa sekunde, halafu jirushe wanagoma kujiunga
  2. M

    Tuache Unafiki na Uzandiki: Miaka 50 ya Tanzania ni Mpaka 2014! Miaka 50 ya Tanganyika ni 2011!

    hata mimi hili linanichanganya . Nafikiri sisi wapenda Tanganyika tutatumia mwanya wa Katiba mpya kurudisha Tanganyika yetu. Piga uwa garagaza mpaka Tanganyika irudi,Hii Tanzania ndio inatuletea umasikini zaidi.
  3. M

    Tuache Unafiki na Uzandiki: Miaka 50 ya Tanzania ni Mpaka 2014! Miaka 50 ya Tanganyika ni 2011!

    hata mimi hili linanichanganya . Nafikiri sisi wapenda Tanganyika tutatumia mwanya wa Katiba mpya kurudisha Tanganyika yetu. Piga uwa garagaza mpaka Tanganyika irudi,Hii Tanzania ndio inatuletea umasikini zaidi.
  4. M

    Kusimamishwa kazi na kulipwa nusu mshahara

    Mr Jamhuri huru, kifungu cha sheria ya public service Act kinachosema half Salary kiko kwenye public service regulation ya 2003 kifungu cha 34(4)hii ni regulation ya PSA number 8 ya 2002(public service act) na pia kifungu kinachofukuza kiko kwenye ACT yenyewe ya PSA 2002 kifungu cha 23 pia Rais...
  5. M

    Watatu kwa kuombaomba, wa 5 afrika kwa rushwa, wa mwisho kukusanya kodi-hii ndo tanzania

    ha ha ha dogo punguza jaziba, hapa TZ ukiwa na jaziba utakufa na presha,hata useme nini na ufanye nini huwezi kupandisha maji mlima Kilimanjaro mpaka kileleni kwa gravity
  6. M

    Sijapata kuona Mamba akitafuna majani.!!!!!!

    poverty is like GOD nowdays
  7. M

    Utajiri wa familia ya JK baada ya kuingia madarakani.

    hii ni hatari hata ukimwi hauoni ndani
  8. M

    Trafic jamani punguza kupokea hongo

    hatari hatari zaidi ya umeme
  9. M

    Breking Newz: Mswada wa sheria ya Katiba mpya kufutwa!

    Watz tumeshazoea kuburuzwa ila safari hii wamekutaniza wamekabwa kila Idara mpaka penaliti bado imekabwa kazi kwao
  10. M

    Modem gani inafaa??

    Chukua Airtel bei yake ni ndogo kununua ,matumizi yake ni TSH 2500 utapata mb 400 matumizi kwa mwezi mzima na pia inapatikana kote mpaka vijijini .MIMI NIMETUMIA ZOTE LAKINI HII NDO KIBOKO YA ZOTE.
  11. M

    Maandamano !!! Maandamano!!!!! Jumamosi 26/11/2011: Yana Kibali Cha Polisi!

    Hapo imekuwa poa kabisa, wajamani jitokezeni kwa wingi sana ili mmalize hasira yenu kwa kuzuiwa maandamano ya katiba .Ni vema hilo likafanyika mkiwa na mabango yenu tena mbele ya Mgeni rasmi mwenye sifa.Hai kumbe Mungu hamtupi mja wake !!!!!!!!!
  12. M

    Upendeleo CDM wahamia mikoa mingine kutokea Kilimanjaro

    Mwandishi huyu atoe data ni wanawake wangapi waligombea nafasi hiyo na kura zao zilikuwaje na upendeleo anaosema unatokana na nini.Huyu jamaa hajui kuwa baadhi ya maeneo kumpata mtu wa kugombea Chama cha upinzani ni shida sana na ndiyo maana baadhi ya maeneo kulikuwa hakuna Wagombea wa vyama vya...
  13. M

    Kutoka Mövenpick: Mdahalo wa Katiba - Lissu vs Mnyaa

    hii habari haieleweki hawa walikuwa na mdahalo au ilikuwaje fafanua
  14. M

    Serikali inaweweseka kwa ujumbe wa Kikosi cha watu 2,858 cha ukombozi.

    huo waraka mbona mimi sijakutana nao natamani sana niuone na nijue unasemaje, simu zangu zote nne sijapata msg wala kwenye mtandao au unalenga wanachama maalum?
  15. M

    Serikali inaweweseka kwa ujumbe wa Kikosi cha watu 2,858 cha ukombozi.

    huo waraka mbona mimi sijakutana nao natamani sana niuone na nijue unasemaje, simu zangui zote nne sijapata msg wala kwenye mtandao au unalenga wanachama maalum?
  16. M

    Mizani kerooo kwa abiria wa mabasi makubwa

    kweli hii mizani ni kero kubwa sana hasa kwa mabasi na adha sana , manufaa yenyewe hatuyaoni, hii ingebaki kwa ajili ya magari makubwa tu hasa maloli
  17. M

    Duka la bastola na bunduki Upanga

    kumiliki Silaha hakuna ubaya wowote ila kama matumizi yake si mabaya, kama hawa hawatanunua bastora nani atanunua wakati wengine hata fedha ya kununua chakula cha mchana kwa mama lishe hatuna, acha wenzio wafanye biashara ya kuuza silaha
  18. M

    Kusimamishwa kazi na kulipwa nusu mshahara

    sema unachotaka kufahamu nawe utapewa bila malipo yoyote
Back
Top Bottom