Mh Othman Massoud
Alokua mwanasheria mkuu Zanzibar
Nimesoma katika Gazeti la An-nuur la tarehe 11- 17 Novemba, 2016, Makala ya Mwinjilisti Kamara Kusupa isemayo “Kabla ya kudai “Fungu Baraka” Ulizeni nani aliitoa Zanzibar UN? Makala hiyo imeshereheshwa na maneno “tusisahau kila zama na kitabu...
Mbunge wa Tanga Mussa Mbarouk kupitia chama cha wananchi CUF
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Tanga, Leonard Paulo amesema hayo leo alipokuwa akizungumza na Mwananchi.Tanga.
Jeshi la Polisi wilayani hapa limemzuia Mbunge wa Tanga, Mussa Mbarouk kupitia CUF kufanya mikutano ya hadhara kwa muda...
Kwa ufupi
Mtafaruku huu umekuwa tukiambiwa unatafutiwa ufumbuzi kwa kufanyika kwa njia ya mazungumzo ambayo yametawaliwa na usiri uliosababisha kutoa tafsiri ya kukwama.
By Salim Said Salim
Zanzibar iliyogubikwa na mtafaruku wa kisiasa kufuatia kufutwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu...
Hivi kweli hawa wapinzani akili wanazo au ndio njaa. kwa mambo yanavyokwenda uchaguzi CCM washamaliza iliyoyo bakiya ni fomaliti za kuapishwa Mzee Pombe tu. hebu tizameni hizi vurugu za uandikishaji ivi kweli kunauchaguzi Octoba au kuna uchafunzi
Tuisomeni vizuri na kuichambua katiba iliyopendekezwa kabla ya kuikataa au kuikubali. Kuikataa tu kwa sababu ya muundo wa muungano itakuwa tunakosea. Tuisome hasa mambo yanayoihusu Zanzibar na kero zetu za muda mrefu je zimepatiwa ufumbuzi?
Mimi nnavokumbuka kero za muungano zilikuwa ni:-...
Presidency sells plane for $15m to feed poor and grow crops to fight malnutrition in southern African country.
By Al Jazeera and Agencies
Malawi will use $15m from the sale of the country's presidential jet to feed the poor and grow crops to
fight malnutrition, an official has said.
"It...
Mtikisiko Uchaguzi Mkuu
CCM yadaiwa kuandaa mipango ya kuvuruga uchaguzi
na Mwandishi wetu
WAKATI zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Jumapili hii, hali ya kisiasa nchini inazidi kuwa tete na ya kutia shaka.
Hali hiyo kwa kiwango kikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.