Search results

  1. B

    Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

    Ni wale wasiojua historia na mwenendo wa siasa za kimaslahi za kimataifa vinginevyo tupo wakristu wengi tu ambao hatuiungi mkono Israel
  2. B

    CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi, Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

    The most genie of all according to Henry Kissinger
  3. B

    'Udikteta': Lowassa na sizitaki mbichi hizi

    Nakubaliana na wewe mzee, Lowassa ni dikteta mwingine
  4. B

    Open your eyes dada, usitarajie ndoa huku unaogopa kutoa penzi kwanza

    Sharti mjue kama mpo compatible linapokuja suala la sex, ni muhimu sana ila sasa... vijana wanaitumia kama kisingizio cha kuonja onja
  5. B

    Hivi mimi ni mbinafsi?

    Imebidi nijiulize hili swali, hivi mtu mbinafsi yuko vipi? Je mimi ni mmoja wao? Kwa mfano nikitaka kitu changu huwa sina compromise, when pursuing something huwa sijali wengine wanafikiri nini as long as I do not step on their feet, I can give up a relationship for it kama nikiona inaniwekea...
  6. B

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Mkuu bado hujatuhumiwa tu kuwa unatembea na hse girl wako?
  7. B

    Serikali yafuta Posho za vikao vya Kamati za Bunge na Bodi za Taasisi za Umma

    Usihofu mkuu pesa inayobanwa huku itatumika kwenye elimu, watalipwa wakandarasi wa kujenga mashule na madawati. Walimu wataboreshewa mishahara na marupurupu yao yatalipwa kwa wakati . That way pesa itarudi kwenye mzunguko na itakuwa bora sana kwa uchumi maana itakwenda mikononi mwa watu wengi...
  8. B

    Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

    Hivi umewahi kujua nini hasa anataka? Inawezekena unafanya kila kitu from your point of view ila bado yapo mambo muhimu zaidi kwake ambayo huyafanyi. Mfano kwangu mimi si lazima sana kufuliwa na bibie (akiwepo) na kupikiwa sio ishu sana maana mi mwenyewe napika. Nathamini sana usafi hadi...
  9. B

    Hivi ni sifa kwa mwanaume kutembea na wanawake wengi?

    Ni utoto tu kujisifia na kutangaza, wakikua (kama watakuwa) wataacha. Nafikiri kwa sauti tu, kila mwanamke ana ladha yake alafu saa nyingine kuchepuka kunaweza kuboresha mahusiano yako na njia kuu yako. Ila fanya kwa kiasi, kuwa na standard na it should be discreet!
  10. B

    Kapata kazi kanitupa

    Nilipewa kazi ya kuongea na binti mmoja, ni hivi jamaa yangu mmojaa mbaye yupo vema sana up stairs na yupo ok vya kutosha financially alikuwa Mwanza kwa kazi ya kama 18mnths. Akakapenda kabinti flani ka St Augustine jamaa akaona ngoja akapime kama kanafaa kuwa wife. Jamaa akawa anakasaidia mambo...
  11. B

    Sokoine was not a hero, Salim was...

    I beg to differ, Sokoine alikuwa na courage ya kum face Nyerere, ni kiongozi pekee wakati ule ambaye angerudi kwa Mwalimu hata mara tatu hadi Mwl amwelewe.
  12. B

    Wakenya wanavyoshangilia ushindi wa Magufuli

    Hao ni wajaluo ambao wa naamini urafiki wa raila na jpm utawasaidia
  13. B

    Mapingamizi yatakua mengi sana na CCM watashindwa vibaya

    Wapinzani hawana dola na ili uhujumu sawa sawa lazima dola iwe nyuma yako
  14. B

    Hatari ya mafanikio - CHADEMA/UKAWA & Lowassa

    Mkuu sisi kwanza iondoke CCM, in this we are ready to work with any one, I mean any one!
  15. B

    Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Inapobidi kushirikiana na shetani kumuangamiza adui muivu kuliko shetani..... Ndioooo kabisa
  16. B

    Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    MC hii movu ya siasa ni ya levo ya j juu sana kwa watu wa kawaida kuielewa.
  17. B

    Lowassa kutangaza kuhamia CHADEMA Julai 26, Mwembeyanga ambako Dr. Slaa alimtangaza kuwa Fisadi Papa

    Mkuu inakuwaje unamtahadharisha adui yako (cdm) kuwa anatumbukia shimoni? Nilitegemea ukae kimya umtazame akiangamia!
  18. B

    Lowassa kutangaza kuhamia CHADEMA Julai 26, Mwembeyanga ambako Dr. Slaa alimtangaza kuwa Fisadi Papa

    Huwezi kupigana vita ya ufisadi ukiwa ccm, any way mjitahidi kuzuia hili lisitokee maans ndio utakuwa mwisho wenu.
  19. B

    Traits of a great girlfriend

    Naam! fursa ya kujifunza
Back
Top Bottom