Search results

  1. Barbarosa

    Dkt. Bashiru Ally akemea adhabu za viboko zinazofanywa na Maofisa wa Umma

    Raisi Magufuli ndiye anayehusika na kuwapiga viboko Watanzania kwani yeye Raisi ndiye Big Boss wao, acheni kutufanya wajinga, atavuna alichopanda kama anaendeleza chuki hii dhidi ya Watanzania, ...
  2. Barbarosa

    Jenerali David Musuguri atimiza umri wa miaka 101 leo

    Anaijua tarehe yake ya kuzaliwa ? Hongera zake hata hivyo kwa kutimiza karne, unavuna ulichopanda Biblia inatufundisha, ...
  3. Barbarosa

    Waziri Lukuvi awataka wamiliki wa ardhi kujenga kwa kufuata sheria

    Kwa nini anawataka? Chukua hatua kila siku blah blah tu, watu wanaendelea kuvunja sheria, chukua hatua na siyo matamko, ...
  4. Barbarosa

    Waziri Mkuu Majaliwa amezindua safari ya meli ya MV Mbeya II itakayotoa huduma katika Ziwa Nyasa nchini na nchi jirani za Msumbuji na Malawi

    Vipi Meli ya uokoaji na waokoaji pia vipo au mpaka Makaburu kutoka AK watumie chombo likitokea la kutokea ?
  5. Barbarosa

    Viongozi wa awamu ya 5 sasa hivi wanapenda kuchapa chapa viboko kuliko kutatua changamoto

    Wengi wao wamelelewa na Wazazi/Walezi wakatili na wana chuki binafsi, evil people, ...
  6. Barbarosa

    Ndoto yangu, Tanzania ambayo Mtanzania anaweza kuishitaki Serikali Mahakamani na Serikali kutii!

    Na kama hawajuwi haki zao je, siyo kazi ya Mahakama kuingilia na kusema hapana hatuendi hivyo Waziri anapiga Watanzania bakora ? Unafikiri waliofanyiwa unyama na ukatili huu kama wangejua kuna mahali wangeweza kwenda na kupata Haki wangekataa ? BTW ulishawahi kupiga Mnyama kama Paka au Mbwa...
  7. Barbarosa

    Ndoto yangu, Tanzania ambayo Mtanzania anaweza kuishitaki Serikali Mahakamani na Serikali kutii!

    Sasa kwa nini Viongozi wa nchi wanawachapa Watanzania bakora ? Kwa nini Mahakama inaruhusu huu ukatili na chuki dhidi ya Watanzania ?
  8. Barbarosa

    Ndoto yangu, Tanzania ambayo Mtanzania anaweza kuishitaki Serikali Mahakamani na Serikali kutii!

    Nchi nyingi huwa nasoma kwamba kwa mfano Serikali imechukuwa tuseme uamuzi x Wananchi wa hiyo nchi wanapinga wanakwenda Mahakamani kushitaki kwamba uamuzi huo ni kinyume na Katiba ya nchi yao, Mahakama inaamua na kutengua huo uamuzi wa Serikali na Serikali kutii, sijui kama hilo linawezekana...
  9. Barbarosa

    Watawala, siku wateule wenu wakigeuziwa kibao kwenye kuchapana viboko hadharani, tutaomba mkae kimya kama mlivyochagua kukaa kimya sasa

    Magufuli is evil, ogopa sana mtu anajionyesha ni mcha Mungu, Yesu alitufundisha unyenyekevu na siyo ukatili dhidi binadamu wengine, atalipa siku moja kwa uonevu huu dhidi ya Watanzania. Mahakama pekee ndiyo yenye haki ya kuhukumu kwenye ya Mungu na siyo viboko, ...
  10. Barbarosa

    Ni wakati sasa tuwe na Hospitali-Tiba za Vyuo Vikuu

    Hata Muhimbili ni Chuo Kikuu, KCMC ni Chuo Kikuu pia, ...
  11. Barbarosa

    Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

    Ubaguzi uko wapi hapo ? Kusema kwamba Uchumi wa Tanzania umeshikwa na Wahindi/ Waarabu ndiyo Ubaguzi mbona wewe umesema uchumi wa USA umeshikwa na Wayahudi ni Mbaguzi pia ? Next time jaribu kuelewa kwanza kinachoongelewa au kama vipi uliza badala ya kukukurupuka tu na kuandika yasiohusiana, ...
  12. Barbarosa

    Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

    Nafikiri labda haujaelewa maana ya hii Mada ungeuliza kwanza, sijasema kwamba hakuna matajiri weusi Tanzania, ila wachache na hawamiliki uchumi wa Tanzania kumbuka Wahindi Tanzania hawafiki laki 2 wakati sisi tuko zaidi ya milioni 45, kwa maana nyingine Wahindi tuseme labda kinadharia...
  13. Barbarosa

    Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

    Kuna watu wana ukichaa wa kurithi na huyo Babake Diamond anaweza kuwa ni mgonjwa wa akili, acha kuingilia mambo ya ndani ya watu usiowajua, haujui kilichojili, ...
  14. Barbarosa

    Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

    Data za Muhindi ziko recorded tangia Ukoloni, kwani ni nani alisema Wasukuma ndio kundi lenye watu wengi zaidi Tanzania ? Mnahesabiwa bila ya kujijua ulishawahi kujiuliza kwa nini unaulizwa kabila kwenye fomu za Serikali au hata Trafiki tu akikuandikia faini? Hata ukilala gesti unaulizwa kabila...
  15. Barbarosa

    Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

    Sijasema hakuna hata Tanzania kuna Mabepari wakubwa weusi pia, lkn ni wachache sana na hawana ushawishi mkubwa kwenye uchumi kama Wahindi, Wahindi wanamiliki sekta strategic karibia zote kuanzia Utalii hapa naongelea kuanzia kampuni kubwa za Utalii za safari mpaka beach hotels ni Wahindi, Media...
  16. Barbarosa

    Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

    Mfano nilifika Ghana, kule nako ni yale yale kuna Walebanoni ndiyo Wahindi wao, Uchumi wote uko chini ya Walebanoni, kusema kwamba Watanzania weusi ndiyo wanaomiliki Kampuni kubwa za Wahindi/ Waarabu kwa kujificha hilo sikubaliani nalo ila ninachojua wanakuwa na shea kidogo au hata wanapewa...
  17. Barbarosa

    Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

    Ni kila sekta, hata Ujenzi Kampuni kubwa sasa hivi na inayoaminika ya Ujenzi ni Estim, ni ya Wahindi, hawa ndiyo wanaojenga majengo makubwa ya NHC & Co. , ...
  18. Barbarosa

    Tuwe wakweli, ukiondoa Wahindi na Waarabu tunabakia na nini Tanzania?

    Ujue tuko > milioni 45, Wahindi hawafiki laki 2, ...
Back
Top Bottom