Search results

  1. MTUSIASA

    Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Baba Asante sana.....nimejifunza sana hapa. Kitu kizuri sana hiki. Naanza nayo leo leo
  2. MTUSIASA

    Polisi isigeuke kuwa kundi la kutesa Raia

    [emoji2][emoji2] tofautisha mtu kulalamika na kusema ukweli. Kwa mtizamo wako 1-Ni Sahihi polisi kumnyima dhamana raia? 2- Ni sahihi polisi kumkamata mtu bila kosa? 3- Ni sahihi polisi kujichukulia kazi za mahakama?
  3. MTUSIASA

    Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Sio kila mtu anacheza utoto wa kinderggaten school
  4. MTUSIASA

    Polisi isigeuke kuwa kundi la kutesa Raia

    Polisi wanatumwa na baadhi ya viongozi ambao tupo na wao. Nadhani tuanze kuwalaumu viongozi wa kiserikali tukianza na mkuu wa usalama au ulinzi wa mkoa ambaye ni mkuu wa mkoa. Then baada ya hapo tuje kwa mkuu wa Wilaya. Ni upumbavu uliopitiliza endapo mtazidi kufanya aina ya tabia mnayoonesha...
  5. MTUSIASA

    Waziri mkuu amwakilisha Rais Magufuli mkutano wa wakuu wa nchi

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  6. MTUSIASA

    Tundu Lissu: Mwigulu anahusika na mauaji ya polisi CRDB Mbande?

    Hili lako linamuhitaji Msajili wa vyama na sio kwa kuandika tu bali uende pia mahakamani.
  7. MTUSIASA

    Tundu Lissu: Mwigulu anahusika na mauaji ya polisi CRDB Mbande?

    Ujue maswala kama haya nendeni mahakamani mkaonane nae. Hapa hamtapata muafaka
  8. MTUSIASA

    Tundu Lissu: Mwigulu anahusika na mauaji ya polisi CRDB Mbande?

    Kama unaijua katiba vizuri nenda kaonane nae pale mahakamani.
  9. MTUSIASA

    Wanawake huwa mnapatwaga na ibilisi gani?

    Hii ndo mbaya zaidi ataumia zaidi na zaidi maana anaweza kuwa forced na family lakini kwako ikawa balaa. Akubali tu yaliyotokea maisha yaendelee na yeye atampata anaye mpenda kweli.
  10. MTUSIASA

    Ni sahihi kulipa service charge wakati wa mgawo?

    Inabidi tumpe taarifa Millard Ayo, atusaidie kuifikisha mahala. Tena TANESCO walitakiwa walipe fidia
  11. MTUSIASA

    CCM wanatamani kubadili rangi za chama

    Ni kweli kabisa, hata muda huu niko hapa Lumumba kuna mkaka flani ni driver wao, Yeye kakataa kupokea ya kijani chao na kachukua ya rangi ya Ugoro
  12. MTUSIASA

    Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

    hahahahahahahahahah
  13. MTUSIASA

    Vyombo vya Ulinzi Tanzania wamuaga rasmi Rais Kikwete (Amiri Jeshi Mkuu) Uwanja wa Taifa

    Watu mkifanikiwa mnafanya dharau na kukumbatia dharau hembu kama unaweza weka picha tuone utakuwa wapi baada ya miaka 4
  14. MTUSIASA

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Mimi naona kwangu hiyo inatija, labda pengine alikosea kusema watawafungua na angetakiwa kusema kesi itatazamwa tena kwa Upya. Au kusema sheria za makosa ya kijinai kupitiwa tena
  15. MTUSIASA

    Wasomi wa Elimu ya Juu wakataa kuburuzwa

    Wewe mzksaditz hata wewe kama ni msomi basi choma cheti chako. Maana inakubidi uwe makini wakati unapokuwa kwenye swala kama ulilotoa. Hembu cheki Jumla yako ya kwanza. Yaani kama ni Bank ungeshafukuzwa kazi maana pale ushaingiza hasara kubwa sana. Inaonyesha unachokitoa ni unafki
  16. MTUSIASA

    Kubenea wewe ni mwandishi, mwanaharakati au mwanasiasa?

    Hahahahahahahahahah short n clear
  17. MTUSIASA

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Hivi kweli inakutoka Mtu ambae ulizaliwa na mwanamke?? Kutoa ujinga na Upumbavu kumdharau mama kama mama yako. Aisee kweli nimeamini CHUKI iliyopandikizwa kisiasa sasa inaleta matunda. Ndo haya ya kudharau hadi mama na dada zetu. Pole sana wewe ambae mama yako hakukuzaa
  18. MTUSIASA

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Hawa WANANCHI nao washakuwa Waswahili kama Raisi wao. Wanamfuata kiunafki kama vile watampa Kura. Asante kwa taarifa pia
Back
Top Bottom