Kubenea wewe ni mwandishi, mwanaharakati au mwanasiasa?

Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
581
642
Huyu jamaa cwezi kumuamini kabisa katika maisha yangu...nilikuwa nikisoma makala zake na habari zake ...nikiamini ni proffesional alikuwa akiandika story za kuisema sana serikali na kusema anaibua madudu....nakumbuka alivyowahi kumshambulia EDWARD LOWASSA na kumuita majina ya ajabu kadri alivyopenda yeye...ila ghafla kachukua fomu ya kugombea ubunge kupitia CDM mbaya zaidi yule mtu aliyekuwa akimsema na kumshushia matusi...sasa tunaona anampamba na kutaka kumsafisha .....ndugu zangu nisaidieni huu ndio uandishi wa kikombozi....u write to whom u serve and not write for the wananchi
 
Daaaaaa!!! Anawakati mgum sana pale ubungo na ndo maana mnyika kaamua kusepa akagombee mbele. Kwa sabuba hajatimiza ahadi na ataingia na sela zipi ??
 
Huyu nae wana UBUNGO wameapa kumkata...kwanza kabisa hana mvuto kisiasa Tutamkata i sware....ubungo now hatutaki mnafki...mnyika alitambua hilo akajitoa mwenyewe
 
kazeti la wiki zima ni kumkandia mkapa, nilisema huyu jamaa ni hatari kwa jamii, alieneza uchohezi na chuki zidi ya lowassa, sasa hivi yuko naye anamsifia, nadhani kuna siku mungu atamuhumu kwa haya anayoyatenda. Time will tell
 
Kwani ninj alichokosea.. Kugombea ana uhuru kama watu wengn tuu koz kutetea watu ata bungeni ataweza tuu zaidi tena akiwa na kinga ya bunge.. Makala zako aliandika habari kwa kadri alivyopta taarifa koz kila mtanzania alidanganywa kuusu Richmond.. Kwa kumbkmb zangu hakuwai kumwita lowasa ni fisadi bali haliusika kwa namn moj au nyingn ktk kafsha ya ufisadi.. Mfn kashfa iliyomuondoa kagasheki.. It was nt directly involvement.. Ata kubenea atakua kahua true colour ya lowasa.. Wengine mtajua ukweli akishakua raisi... Kushindwa ubunge haitakua raisi km ilvyo kushinda pia
 
Kama hujui kingereza embu acha! Bhana
Huyu nae wana UBUNGO wameapa kumkata...kwanza kabisa hana mvuto kisiasa na pili she is not knw hata workload yake (sor nimemuita she...i think she deserve kuitwa hivyo, coz ni wakuyumbishwa tu)...Tutamkata i sware....ubungo now hatutaki mnafki...mnyika alitambua hilo akajitoa mwenyewe
 
There is no permanent situation ... Kubenea baada ya kugundua Ukweli kama ambavyo Watanzania wengi tulivyokuwa hatujui tumeamua kwa dhati kabisa kumuunga mkono Lowassa ili tuing'oe CCM madarakani kutokana na endless UFISADI kuanzia kwenye Madini, Nishati, Gas, Viwanda, Biashara, Usafirishaji, Ujenzi, Maliasili, .... nk .... nk....
Huyu jamaa cwezi kumuamini kabisa katika maisha yangu...nilikuwa nikisoma makala zake na habari zake ...nikiamini ni proffesional alikuwa akiandika story za kuisema sana serikali na kusema anaibua madudu....nakumbuka alivyowahi kumshambulia EDWARD LOWASSA na kumuita majina ya ajabu kadri alivyopenda yeye...ila ghafla kachukua fomu ya kugombea ubunge kupitia CDM mbaya zaidi yule mtu aliyekuwa akimsema na kumshushia matusi...sasa tunaona anampamba na kutaka kumsafisha .....ndugu zangu nisaidieni huu ndio uandishi wa kikombozi....u write to whom u serve and not write for the wananchi
 
Huyu jamaa cwezi kumuamini kabisa katika maisha yangu...nilikuwa nikisoma makala zake na habari zake ...nikiamini ni proffesional alikuwa akiandika story za kuisema sana serikali na kusema anaibua madudu....nakumbuka alivyowahi kumshambulia EDWARD LOWASSA na kumuita majina ya ajabu kadri alivyopenda yeye...ila ghafla kachukua fomu ya kugombea ubunge kupitia CDM mbaya zaidi yule mtu aliyekuwa akimsema na kumshushia matusi...sasa tunaona anampamba na kutaka kumsafisha .....ndugu zangu nisaidieni huu ndio uandishi wa kikombozi....u write to whom u serve and not write for the wananchi

ahhh mjini hapa kijana
 
Kubenea ni jamaa fulani mhuni na mzugaji tu usimwamini kwa lolote ni mtu wa hovyo sana kutokea hapa tanzania ni mnafiki balaa.
 
Huyu jamaa cwezi kumuamini kabisa katika maisha yangu...nilikuwa nikisoma makala zake na habari zake ...nikiamini ni proffesional alikuwa akiandika story za kuisema sana serikali na kusema anaibua madudu....nakumbuka alivyowahi kumshambulia EDWARD LOWASSA na kumuita majina ya ajabu kadri alivyopenda yeye...ila ghafla kachukua fomu ya kugombea ubunge kupitia CDM mbaya zaidi yule mtu aliyekuwa akimsema na kumshushia matusi...sasa tunaona anampamba na kutaka kumsafisha .....ndugu zangu nisaidieni huu ndio uandishi wa kikombozi....u write to whom u serve and not write for the wananchi

Kabisa. Nami nakuunga mkono
 
There is no permanent situation ... Kubenea baada ya kugundua Ukweli kama ambavyo Watanzania wengi tulivyokuwa hatujui tumeamua kwa dhati kabisa kumuunga mkono Lowassa ili tuing'oe CCM madarakani kutokana na endless UFISADI kuanzia kwenye Madini, Nishati, Gas, Viwanda, Biashara, Usafirishaji, Ujenzi, Maliasili, .... nk .... nk....
Lowasa ndiyo kilanja mkuu wa ufisadi hapa tanzania kama huamini kamata ripoti ya Richmond.
 
Back
Top Bottom