Search results

  1. U

    Natafuta kazi, Nina degree ya statistics

    Habari za majukumu wakuu, Niko hapa jukwaani kutafuta fursa ya ajira ya muda au permanent. Nina uzoefu wa kusimamia miradi mbalimbali kama project coordinator, kukusanya, kuanalyze na kumanage data kwa ujumla kwa kutumia excel au statistical packages kama SPSS,STATA etc. Pia nina teaching...
  2. U

    Nafasi za kazi NBS

    Sent using Jamii Forums mobile app Nafasi za kazi ofisi ya Taifa ya Takwimu
  3. U

    Msaada jinsi ya kuondoa tumbo la uzazi

    Habari zenu mabibi na mabwana ,kwa yeyote mwenye uzoefu jinsi ya kuondoa tumbo baada ya kujifungua naomba anielekeze ili niweze kurudia hali yangu ya kawaida . Mchango wako ni wa muhimu sana ,karibuni
  4. U

    Wadada acheni kutoa mimba kwa kuogopa kuwa single mothers

    Nawasalimu wote, Kumekuwa na kasumba ya wadada (baadhi) kutoa mimba ovyo bila kujali na kufikiria madhara yanayotokana na kitendo hicho eti kisa wa nataka wabaki wasichana au wanaona aibu kuwa single mom. Na baada ya hapo OK utabaki binti na utadunda mtaani utaolewa tena kwa shangwe na bashasha...
  5. U

    Msaada:nifanyeje nipate ajira?

    Nimehitimu Bachelor of arts in statistics since 2013 nimejaribu kutafuta ajira lakini imekuwa ngumu na interview nimefanya nyingi especially za utumishi but naishia written interview , He nakosea wapi labda? Niongeze nini kwenye juhudi zangu ili niweze kupata ajira? Mawazo yako ni muhimu sana
  6. U

    Kuolewa na mwanajeshi

    Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni; 1.Familia yangu pamoja na marafk zangu wako against na progression yake(uanajeshi)na hii inanipa wasiwasi sana though maamzi ni ya...
  7. U

    Why should I get married?

    Natumaini ni wàzima wa afya ndugu zangu. Hili swali huwa najiuliza sana sijui wenzangu mlio kwenye ndoa na ambao hamjaolewa mmejiuliza pia??? Baada ya kujiuliza utaweza kutafakari kwa usahihi kwamba uko tayari? Au unaoa/kuolewa kwa sababu rafiki zako wote wameoa/kuolewa. Unaoa/kuolewa kwa...
  8. U

    Ni wakati gani sahihi wa kuvalishwa Pete ya uchumba?

    Kama kichwa kinavyozungumza ndugu zangu naomba msaada wenu katika hili suala ni wakati gani hasa binti anavalishwa Pete ya uchumba?Na inabidi akae nayo mda gani kabla ya ndoa? Ushauri wako muhimu
Back
Top Bottom