Do you want to completely and permanently delete those memories? Do only one thing...! Initiate a strong, and unsolvable conflict with your ex- ....! It is from there, your minds will never waste time to think getting back to the past....!
11. Kujivua gamba.....
12. Mvua ya mabomu....
13. Mafisadi ni wachapakazi, watu safi Tanzania....
14. Ahadi 86 kwa mwaka mmoja....
15. CHADEMA wakiichukua dola wengine watahama nchi, na wengine kujinyonga....
16. Waziri Mkuu kudanganya taifa....
17. Polisi kuiba maiti mochwari....
18. Hotuba ya...
Binafsi nimefurahi sana huyu mchanga anavyowachangamsha kwenye siasa......! Hata ukifuatilia vema amekuwa akishindwa kujizuia kuto "Likes" katika baadhi za comments fulanifulani.....!
Japokuwa inauma...! Si dhambi wala si kosa kufumania, lakini ni upumbavu, ujinga, aibu, ni dhambi umetokea hadi umefumaniwa....! Labda nikushauri uingie maabara na ujaribu yote, then uje na majibu....!
Bibi Lizzy, haya yote ni ya kusadikika....! Maana katika kila ndoa lazima baadhi ya hayo yatokee...! Cha msingi ni kufahamu yafuatayo;
Mara zote mwanamke humkubali mwanaume, pamoja na mapungufu kwa matumaini kwamba huyo mwanaume atabadilika....! Lakini wanaume hawabadiliki....!
Mara zote...
Mkuu kuna haya yafuatayo;
Huwa wanasema wanandoa wakiishi pamoja kwa muda mrefu hufanana....! Tafadhali sana, kufanana kwao sio kwa sura, bali kwa tabia....! Hivyo, kama sio mkeo kakuridhisha tabia hiyo, basi uwe makini usije ukamridhisha yeye siku za mbeleni....!
Uelewe kuwa wanawake wengi...
Pole sana mamiii....! Ninavyoamini mimi ni kwamba kambi zingine zote zinaweza kuvunjwa kwa amani na zikavunjika milele...! Lakini sio kambi ya mapenzi...! Hivyo, inaonekana kambi yenu mliivunja kwa amani mkiamini kuwa inawezekana, na sasa uhalisia unakushinda....! Wahenga walisema usinyee kambi...
Jamani nimekuwa na my wife, ambaye tumekuwa tukiishi vizuri sana, japo kama ilivyo kawaida katika maisha tumekuwa tukipishana hapa na pale na baadaye tunarudi vema kabisa.... Lakini kikubwa zaidi ni kwamba nimekuwa na nyumba ndogo ambaye my wife hakuwahi kuijua...! Juzi nyumba hii ndogo...
Ukiwa mwanaume, umeoa na umekuwa na mzunguko wa hapa na pale katika kutafuta mkate wa familia. Umebahtika kumpata mtoto wako mmoja....! Umekuwa ni wa dunia ya leo na hivyo ukawa mmepanga na mkeo kuweka interval fulani katika maamuzi ya kumtafutia mwana wenu mdogoye...! Lakini ukiwa safarini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.