Search results

  1. capacity charge

    Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

    Nadhani yule alosema Frent ford Sent using Jamii Forums mobile app
  2. capacity charge

    Overdrive

    Acha uongo wewe ikiwaka kwenye dash board jua ndo ipo OFF Sent using Jamii Forums mobile app
  3. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Uulizwe sasa jengo gani kati ya hayo umewahi kuingia kama hujabaki kujinyeanyea tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. capacity charge

    Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah pole sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. capacity charge

    Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

    Inategemea mkuu na aina ya samsung s8 ni moto mwingine kwenye betri
  6. capacity charge

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    unavyoongea ka member vile.?! Hujui lolote kuhusu d9 mkuu umeona kufuru ya d9 UGANDA jana.?!
  7. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Kweli haters hamkosekani msosi gani na wapi ulipo kula? Hahaha karibu mbeya kwa mchele tu hata kama hujala wali wenyewe utakuwa umeshiba harufu tu. Weka umbeya wako na majungu yako pembeni na kisha nitajie TANZANIA hii mchele bora unatoka wapi.?! Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  8. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Hukandii ila ukweli unakandia na hukijui unachokisema. Wewe mbeya ipi ya zamani unayoijua ambayo emeharibika na ni kitu gani kipya kilicho iharibu hiyo mbeya ya zamani yako unayo isema.?
  9. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Mchawi humtambua mchawi mwenzake. Hivyo nakusihi na wewe acha uchawi. Mkuu kuhusu lugha ni kwamba fikra sahihi huja kwa lugha sahihi na ndiyo maana. Sasa mnataka lufha yetu tukaongelee chooni.?! China leo wanazidi endelea nyenzo yao kuu ni kutumia lugha yao. shida yenu ni kutawaliwa na mawazo...
  10. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Usiongee kitu usicho kijua wewe hebu niambie mtaa upi mbeya ukakatiza ukasikia harufu ya mavi au samaki kama dsm?! Nitajie barabara japo moja tu unayosema imekaa kiboya.?! Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  11. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Mjibu tu kifupi wanyakyusa nao wapo kwingine kupiga pesa na hawajui tu ngoja niwakumbushe. 1. Mwasapila SAMUNGE 2. Bahati Bukuku 3. Bony Mwaitege 4. Lusekelo 5. NK Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  12. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Ah kumbe unajua mbeya ni jiji na moja ya sababu unaijua. Haya twende social services zipi twende na uhalisia mkuu Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  13. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Sasa umekuja kwenye mstari by def. A city is a large and permanent human settlement. Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  14. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Kwa upeo wako unajua hadhi ya jiji ni photo tu mweh.! Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  15. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Muulize alichokipa uyole wakati wa kampeni zake. Hataki kuisikia mbeya hata kidogo. Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  16. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Panandi panandi yaani pole pole mkuu Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  17. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Uwanja upi..?! Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  18. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Eti siyo jiji ni village..?! Unavijua vigezo vya mahala fulani kupewe hadhi ya jiji.?! Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
  19. capacity charge

    Haters wa Jiji la Mbeya njooni hapa [Green City Home Sweet Home]

    Tunadumisha utamaduni wewe zamani tulipeana taarifa kwa sauti ng'ambo moja hadi ng'ambo ingine sasa we unashangaa kwenye daladala moja.?! Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom