Search results

  1. Cassava

    Muhongo anaivuruga TANESCO, Magufuli yuko wapi?

    Do we noma, na walimu nao wanao wasome bure au siyo. wàtoto wa wahadhili wasome bure, kazi kqeli kweli, kila mtu na kona yake.
  2. Cassava

    Muhongo anaivuruga TANESCO, Magufuli yuko wapi?

    Do we noma, na walimu nao wanao wasome bure au siyo. wàtoto wa wahadhili wasome bure, kazi kqeli kweli, kila mtu na kona yake.
  3. Cassava

    Walimu kuomba wapandishwe madaraja wakati shule zao zimefanya vibaya ni halali?

    MTUI said, naomba kukuuliza huyo ndugu yako anayefanya kazi serikalini kwa mshahara wa laki sita na nusu yuko kitengo gani? naomba nikukumbushe kabla ya kulinganisha mshahara usiangalie kazi. kuna kazi wanapata mshahara mdogo lakini malupulupu usipime. Kazi ya ualimu hutashika pesa mwanzo...
  4. Cassava

    Walimu kuomba wapandishwe madaraja wakati shule zao zimefanya vibaya ni halali?

    Yehodayo, naomba nikuulize wewe professional yako ni ya kitu gani? Kwa hakika utakuwa unachanganya vitu. ninadhani unafikiri kufundisha ni sawa na kutengeneza kitanda ambapo bei huendana na uzuri wa kitanda. au unadhani kufundisha mwanafunzi ni sawa na kufundisha gwalide ambapo utamuona...
  5. Cassava

    Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

    Hivi mnafahamu kuwa kuna tiba mbadala zinaweza kutibu mfupa uliovunjika kabisa ambao hospitalini hauwezekani? Dr. Mwaka anaweza kuwa a?a mapungufu lkn ana mchango mkubwa kwa wenye ugumba. ikumbukwe aliwahi kufungiwa akina mama wakalalamika. kwa hiyo wapo wanaofurahia tiba zake...
  6. Cassava

    Wizara ya Nishati Angalieni bei ya umeme, service charge ya nini?

    kaka sikubaliani na wewe hata kidogo, kwanza nadhani service charge zingefutwa kwa kila huduma yenye aina hiyo ya gharama. Je, kwenye daradara unalipa servirce charge? ukisafiri na basi au na ndegeunalipa service charge? shirika linazalisha linauza unit, litumie pesa hizo hizo wanazouza...
  7. Cassava

    Wizara ya Nishati Angalieni bei ya umeme, service charge ya nini?

    Habari za jioni, Mheshimiwa prof Muhongo nakupongeza sana sana kwa kuteuliwa kwako kuwa waziri tena wa nishati na madini. Wewe ni kiongozi bora mwenye weredi wa hali ya juu. Unapoanza kazi yako, nakuomba mkuu usisahau kuangalia upya bei ya umeme, iko juu mheshimiwa. Wananchi wa hali ya chini...
  8. Cassava

    Shule binafsi acheni wizi, mnapata faida kubwa sana

    shikulaushinye = ng'ata ucheke
  9. Cassava

    Shule binafsi acheni wizi, mnapata faida kubwa sana

    Unazuga kuwa hujuwi ha ha ha haaa haa haa waulize watakwambia
  10. Cassava

    Shule binafsi acheni wizi, mnapata faida kubwa sana

    Shikula ushinye katika ubora wako, wewe utakuw? MKG unashikula kisha una shinya ha ha ha ha haa. uko vizuri, walizoea kujipangia wanavyotaka. ada kila mwaka wanapandisha. halafu salary utaukuta hawapandishi. ila hawa bado wajanja, wanaweza wakaacha ada kama ilivyoelekezwa na serikali...
  11. Cassava

    Mabadiliko ya ada shule za binafsi: Hatimaye kilio cha walimu wa binafsi kusikika

    Nyongeza ni kwamba shule za private zinakosa in service training kwa walimu wake. short courses. unakuta mwalimu anakaa miaka hata 5 hajawahi kwenda semina yoyote ya kuboresha kazi yake. wengine hawana uzoefu na vitu vipya. ila tu niseme kukariri ni njia ya kumfanya mtu ajifunze...
  12. Cassava

    Jinsi ya kumwita jini na kumuamrisha unavyotaka awe rafiki, mpenzi au msaidizi

    Samahani mleta mada nikuulize haya mambo wewe ulijifunzia wapi? na je? hilo jini ukiwa nalo ndio maisha yako yote? au unaweza kulirudisha? Na je, ukiwa nalo Kanisani utaenda? Kama ukiwasha TB joshua TV hutadondoka? mchungaji akihubili hutaanguka? Je, wewe binafsi umeshawahi kuliomba...
  13. Cassava

    Mashirika ya ndege kuathirika na katazo la kutosafiri nje ya nchi

    Angefuta na chai maofsini, mbona walimu wanatumia mishahara yao kwa ajiri ya chai? Ila nime 'note' kitu hapa, mnafurahi wengine kwa kuwa siyo nyie wenye hizo opportunity. Mnawaombea njaa.
  14. Cassava

    Awamu ya tano: Shauri nini kifanyike katika kuboresha Elimu

    pongezi kwa hoja ya KIELIMU MIMI nadhani tuungane na mheshimiwa kwa elimu bure mpaka kidato cha nne. lakini ili elimu iwe bora inabidi mkakati madhubuti wa kupandisha jamasa ya walimu.molari ya walimu ipewe kipaumbele,ili walimu wajitume wai own kazi, hapo tutapata elimu bora.
  15. Cassava

    Mimba zisizotarajiwa au kutakiwa

    Aisee we ni creative sana, nakupa tano. Hapo lazima utafute wafadhili kisha unasimamia malezi ya watoto. Faida: utaokoa watoto na bado uta create ajira kwa watu wengine Una akili sana.
Back
Top Bottom