Search results

  1. bonjov

    Kweli mapenzi yananenepesha

    Huwa ipo hivyo Sana...basi ndo maana tunaombeana kuwa "vyuma chakavu" ukitokea mmwagano 😂
  2. bonjov

    Kweli mapenzi yananenepesha

    🤣🤣🤣🤣 Wewe tena
  3. bonjov

    Kweli mapenzi yananenepesha

    Ngozi inakuwa bling bling 😂
  4. bonjov

    Kweli mapenzi yananenepesha

    Nabariki uamuzi huu Kwa Jina JF na Wana JF na WanaCC wote tusemee hakikaa 🤣🤣
  5. bonjov

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    You will never die free Wewe si witch hunter now its your turn to be hunted..... Halafu Hayao matumizi mbaya ya msemo damn shit wait to "chewed" with you actions Hunteer 🤣🤣🤣
  6. bonjov

    Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    🤣🤣🤣 Basi weka sikio kubwa halafu mkatae
  7. bonjov

    Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Sasa unajua hatumjui sura Wewe tuwekee mtajuana wenyewe Hukoo...tuma bana zingatia muda 🤣
  8. bonjov

    Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

    Lamomy hebu weka simu pembeni leta mchoro wako hapa tuweke kwenye archive zetu 🤣 Naapa hatutachekaa tutajikaza tuu
  9. bonjov

    Wale funza wa miguu waliishia wapi?

    Sasa inabidi tupunguze Hilo komwe maana limekuzidii linataka kukudondoka 🤣🤣🤣
  10. bonjov

    Wale funza wa miguu waliishia wapi?

    Hawajapotea bado ... Weekend nenda Machimbo ya mchanga huko Dondwe, Magereza, Katembee Msanga Zalala kule peku uje na habari hapa sehemu zote hizo zipo Mbele ya Chanika... Tembelea mule zinapotembea big truck kuna vumbi fulani laiiniii ngano ya bakhresa sio laini ile 🤣
  11. bonjov

    Hakikisha unaamka kumwangalia mwenza wako kalalaje

    Ushaanza utata halafu unakimbia 😂
  12. bonjov

    Hakikisha unaamka kumwangalia mwenza wako kalalaje

    Sometimes unaamka unakuta MTU kaachama mdomo unasema oh heck is this my queen ooh damn no no no🤣🤣🤣 huamki tenaaa
  13. bonjov

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    They just fight for blood for their belly that's all 🤣🤣 hakupi malaria Yule wala chango 🤣🤣🤣
  14. bonjov

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    ChoiceVariable 🤣🤣🤣🤣 Ngoja niende gerezani nikasombe vikaanga vitumbua... Naogopa wanaweza juu silaha za jadi, kwako Bro Lucas 🤣🤣 Lukaa umepeenda alichoweka Variable 🤣🤣
  15. bonjov

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Nilitaka kuandika hivi hivi mkuu....tukio nchi amefanyiwa hivi ajitafakari Sana kama kiongozi. Na hao wamempa sababu ya watu wao wauza vyombo mtaani waendelee kuwepoo 😂🤣
  16. bonjov

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Kungunin are very smart cause they don't stay far from their food thus why ukilala tu chap bite ukiwasha taa tu unamkuta anamalizia wowoo lake kuingia vichakani au humwoni kabisa. Wale bwana hawakai Mezani Bali kitandani na Kuta zakaribu na kitanda na kama kuna MTU halali kwenye Kochi humkuti...
  17. bonjov

    Huu ni ujanja au ushamba?

    Si unakamulia tu limao...halafu na kujifanya lete soda water hapaa 😂😂😂
  18. bonjov

    Huu ni ujanja au ushamba?

    Weee sio mtu pure water kiviiile....inaoneka chozi la Simba ukipiga unashusha nondo Sana 😂
  19. bonjov

    Huu ni ujanja au ushamba?

    Unakunywa Nini ?
Back
Top Bottom