jamani, kusema fujo za mtwara zinafadhiliwa na watu au taasisi za nje au vyama vya siasa, ni kuendelea kuudhilishia umma kwamba kwa sasa tz kuna ombwe la uongozi tena sugu. Ni aajabu watu wazima tena viongozi kuacha kabisa kufikiria. Hii italifikisha pabaya taifa hii. Tanzania wake-up and think.
Hizi, ndo siasa za Tz bwana, basi tuseme makatibu wakuu wameingia mitini au labda Dr. Slaa alikumbuka yale ya Juma Nkamia kule bungeni, ya kutaka kuongea na ..... badala ya .......
Ndugu, mimi nadhani sheria ya ushahidi haina utata katika hii. Kumbe hakuna sababu ya kuuma maneno. kinacho wakwaza polisi kumfikisha mahakamani ni watashtaki na kosa gani. Maana hakuna sehemu hata moja katika video alitaja mlengwa.
Lakini ngoma ni watadhibitishaje kwamba hii si-video ya...
maskini wabongo hakuna sheria ya kumlazimisha mtu aseme, kama hataki basi. kuhojiwa ni suala la hiari, labda kama akikataa kufanyahivyo mahakamani na penyewe ni suala la hakimu au jaji si serikali tena. kwelii nchi hii tuna mawaziri.
Tatizo siyo jina lake wala anakotoka au dini yake. Tuangalie anaenda kuwa nani huko. Ninavyojua mimi mahakama, ni muhimili wenye changamoto nyingi sana, kuanzia human resource mpaka fedha. Lkn huko kuna mabosi wengi yaani CJ, JK, Jugdes wa CA, Judges wa H/C na wasajili. Muundo wa mahakama sasa...
duh, wabongo bwana, mwenzenu mnajua mpaka udhaifu wake wa ndani, lkn mtu akisema ukweli nongwa.rais wetu ni imara tena sana. kumbuka alivyosimama kidete katika sakata ya epa, kwa yale majitu aliyoyaomba yarejeshe fedha eti kwa sababu hayakamatiki. just imagine the president of the country...
Duuh, kweli watz tuna ujuha. to say the president and his presidency are weak, ni jambo la kawaida sana. siyo mara ya kwanza haya kusemwa bungeni. lipi tusi lenye hadhi ya kumfukuza mbunge bungeni- kusema wabunge wa upinzani ni wapumbafu, punguani- yaani hawana akili timamu wanastahili...
Ahaa, jambo hili ni kubwa zaidi ya maneno ya Nape, ukiangilia tatizo la kuchelewa kwa kesi mahakamani utagundua linachangiwa na mambo mengi.
Moja na kubwa zaidi ni ufinyu wa bajeti ya mahakama mfano angalia bajeti zilizotangulia mahakama kuanzia rufaa hadi za mwanzo zinapata bajeti chini ya...
Jamani, Mwl once said, a corrupt government does not collect tax. this gvnt has never been serious. it appriciates begging.
the boy- i mean the minister is still naive in the area, you will soon hear him no more. the big fish never pay tax here, only poor civil servants on this land, pay high...
ukweli ni kwamba, africa tuna matatizo yanayofanana sana. Lakini Kenya inakwenda vizuri, na ilianza zamani sana. Uganda na Rwanda wanafuata. Tz na Burundi tuko mwisho. Angalia kigezo kimoja tu cha elimu kwa watoto wa shule ya msingi utapata majibu. Kimsingi hatuwekezi katika elimu hapa tz kiasi...
Naam, nadhani pia wajifunze kutoka kwa yule babu wa TBC1, this week,in perspective anavyotawala kipindi chake na hasa pale anapomalizia kwa majumuisho, unaona alivyojiaandaa na anajua kile alichotaka watazamaji wake wajue.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.