Tatizo wee ni ziro,na siku zote ziro ikibadilika sana sana huwa oo,,,,,msigwa alikuwa anamnanga magufuli live kuwa KAMA UKICHAGUA UPINZANI HUPATI MAENDELEO,MBONA IRINGA WAMEMCHAGUA MPINZANI NA WAMEPATA MAENDELEO?maana yake,asante mheshimiwa rais maneno unayosema mjifunze kuchagua hayana ukweli...
Ni huko afrika ya mashariki katika nchi ya TZ, ambapo msanii aliyeimba wimbo wenye fumbo tata (kibamia)amefungiwa pamoja na wimbo wake kuzuiwa kwa kukosa maadili lakini msanii WEMA sepetu amecheza au AMETUPIA video ya UCHI lakini si waziri shonza wala mwakyembe wala BASATA walioliona...
Acha trump awaite alivyowaita,kama huelewi alichoongea UHURU na ODINGA,na kama huoni tofauti ya makutano yao basi wewe ni ZWAZWA,kama u mvulana wewe ni waleee,,,,,,, kwa ufupi tu baada ya mkutano UHURU kasemaje kuhusu MAANDAMANO,na MAGU alisemaje baada ya MAKUTANO?
Ni wapi uliona ccm walijenga ofisi yao zaidi ya ofisi za mfumo wa chama kimoja?ujinga ni kama ugonjwa ukipata tiba unapona,CHADEMA haina polis,takukuru,usalama taifa wala mahakama,vyote hivyo viko chini ya ccm,ukiona RAIA Y3YOTE anavunja sheria na haguswi na mamlaka jua dola hiyo ni mfu,ikiwa...
Usiwe mjinga TAKUKURU ni taasisi ya serikali,serikali yetu ipo chini ya ccm,TAKUKURU haiko kwa ajili ya wala rushwa ccm tu,bali popote walipo ni wajibu wa serikali ya ccm kupitia TAKUKURU iwakamate,ukiona hilo halifanyiki basi jua hapo hakuna rushwa,au serikali yoooote ni corrupted,,,chukua hili...
Huoni kuwa unaibiwa?na mwizi wako anashirikiana na waziri wa habari?au hujasikia serikali kupitia waziri wake ilisema LOCAL CHANNEL ni bure,wewe unalipa 6000unajisifia!!!!,haya mambo ni TZ ONLY.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.