Search results

  1. Miss Bunyeta

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Wadau mtoa taarifa kapotosha sio vitanda 500 ni 300 na magodoro 300..mtu kama hujui kitu usikurupuke na kuongea tu bila kuwa na hakika na uandikacho..Asanteni
  2. Miss Bunyeta

    Wana JF, Naomba kujuzwa juu ya pishi liitwalo Stima

    This style of fish is superb nampikia mume wangu leo dear am in love with it asante sana king'ast
  3. Miss Bunyeta

    Navunja mji kwasababu mke wangu ana matumizi makubwa ya pesa

    Kaka samahani tunaomba kujua umri wako na wa mkeo
  4. Miss Bunyeta

    Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

    Haya nimenote hapa kati ya wachangaji wengi ni baba vijacho hongereniiii
  5. Miss Bunyeta

    Mwanamke huyu ana matatizo gani?

    Km nguo havui ushirikiano kwa bed unakuwepo? Au ndo ile kusoma gazeti?
  6. Miss Bunyeta

    Apology to JF members

    hi Lara mambo? za masiku? hii topic inayoombewa msamaha ni ipi nipe heading niisome mylove
  7. Miss Bunyeta

    Nimepatwa na upofu

    damn it
  8. Miss Bunyeta

    Nimepatwa na upofu

    Kipilipili heri yako wewe genius mwaya tuache sisi mambulula
  9. Miss Bunyeta

    Nimepatwa na upofu

    asante kikalove
  10. Miss Bunyeta

    Nimepatwa na upofu

    miss chagga ndo tumefikia hapa? si watakuwa wanahamisha Jeshi kdgkdg?
  11. Miss Bunyeta

    Nimepatwa na upofu

    hhahaa samsun usintanie
  12. Miss Bunyeta

    Nimepatwa na upofu

    sielewi Zamaulid ndo silaha zatoka china kutulinda ama?
  13. Miss Bunyeta

    Nimepatwa na upofu

    Wanajamvi naomba mnieleweshe mnaielewaje hiki kibango? naamini wengi tumepita tukakiona katika vituo vya mabasi ya mwendo kasi mnakielewaje tafadhali?
  14. Miss Bunyeta

    Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

    Natumai tuu wazima wana MMU...baada ya kupata lunch hebu tuidadavue hii topic kipi bora kati ya Gubu na Kununa katika Ndoa au maisha ya Unyumba? Karibuni!!!👏👏
  15. Miss Bunyeta

    PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    jamani yamekuwa hayo tena,
  16. Miss Bunyeta

    PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    hapa si tunaogelea jmn? kina kirefu eh?
  17. Miss Bunyeta

    PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    naona hapa yanga wanaweza anzisha biashara ya kufuga samaki katika bwawa hilo la jangwani....wataongeza kipato lol
  18. Miss Bunyeta

    PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    yes wapendwa ni jangwani hii
Back
Top Bottom