Search results

  1. jimmy scami

    Jerimy aluminium

    TUNAUZA CHUMA ZA ALUMINIUM KAMA VILE JAM SILL OUTER Z T PLAIN HOOK TOP BIDING MOSQUITO NAKADHARIKA PIA TUNATENGENEZA MADIRISHA MILANGO PARTION MAKABATI YOTE YA ALUMINIUM, BALCON STAINLESS STELL.. KARIBU SAANA.... 0714651164 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. jimmy scami

    Tunasambazaji na kuuzaji chuma za aluminium aina zote pia kutengeneza milango madirisha ya aluminium aina zote

    Habari kampuni ya JERIMY ALUMINIUM inayousika na usambazaji na uuzaji wa chuma za aluminium aina zote pia kutengeneza milango madirisha ya aluminium aina zote inapenda kukutangazia kwako wewe mtafutaji na mpambanaji kwamba inatoa fursa ya kupata commission kuanzia laki 1 hadi milioni moja na...
  3. jimmy scami

    Matukio mawili leo

    1 Leo katika mihangaiko yangu akati nipo katika usafiri wa umma mitaa ya sinza africa sana kukawa na kijifoleni kuuliza uliza kuna mwananke kakutwa kafa katika maua ya pale barabarani kabla ya kufika africa sana nikasikitika tu baadhi ya watu waliokua wakiongea baadhi ya maneno kama "malaya...
  4. jimmy scami

    JERIMY ALUMINUM

    Habari ya muda huu wana jukwaa. Naitwa jimmy natokea kampuni ya JERIMY ALUMINIUM inayohusika na uuzaji wa chuma za aluminium aina zote na pia tunatengeneza aina zote za madirisha na milango ya aluminium, milango na madirisha ya PVC aina yote, stainless steel balcony pia tunafanya partition...
  5. jimmy scami

    Je malipo yamesitishwa???

    Kama kichwa kinavyouliza, waungwana nauliza je malipo ya korosho yamesitishwa kila nikichungulia account yangu bado hakuna kitu tatizo ni nini ? Kama ukaguzi ulishafanyika na stakabadhi ninazo je ni tatizo ni kwakua nina 2438kg (tani 2 na kilo 438) wilaya ya rufiji tatizo nini au chama cha...
  6. jimmy scami

    Msaada tafadhali

    Habarini wakuu naomba mnisaidie kwa mtanzania yeyote anaesoma chuo cha GIRNE AMERICAN university nipatiwe namba yake ya mawasiliano
  7. jimmy scami

    GPA ya 3.5 vs Admission capacity

    Habarini wakuu... Ujue me nashangaa saana kwa watu ambao wanalalamika eeti vyuo vingi sana sana vya afya vimeweka admission capacity ndogo sasa ukifatilia wengi wanaolalamika ni aambao hawajafikisha hyo GPA ya 3.5 .....nini maana yako ya ulalamishi tunaelekea ktk tanzania ya viwanda wanahitajika...
  8. jimmy scami

    Naomba kujuzwa kuhusu Scholarship za Girne American University

    Habarini wakuu naomba kujuzwa juu ya scholarship zitolewazo na GIRNE AMERICAN UNIVERSITY...asanteni
Back
Top Bottom