Search results

  1. M

    Umejipangaje kuisherekea sikukuu pendwa ya valentine's day 2024

    Wengine tarehe hiyo ndiyo wanaanza mfungo wa kwaresima kati yao wengine wanapakwa majivu usoni kukumbushwa kuwa mwanadamu ni mavumbi na mavumbi atayarudia na wanaambiwa kufunga siku hiyo
  2. M

    FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

    Hi simba namna gani huyo kocha mwishowe atawakimbia kwa kuogopa kuharibiwa cv yake
  3. M

    SI KWELI Mchezaji wa Simba Babacar Sarr ana historia ya ubakaji, udanganyifu na kukimbia mamlaka

    Sasa kama imejulikana yupo Tanzania mitaa ya Msimbazi si waje wamkamate
  4. M

    Wakili msomi Madeleka: Chato ndio Wilaya pekee nchini Tanzania ambayo ina Taa za Kuongoza Magari barabarani!

    Juzi nilikuwa natoka Singida kwenda Bariadi niliona taa za kuongozea magari pale Igunga mjini na Maswa mjini kwa Nzega mjini sijui maana tulipita barabara ya mzunguko
  5. M

    FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

    Humu tupo wakongwe wengi tu katika uwanja huo nimepiga haraiki ya miaka 20 ya TANU
  6. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Asante kwa ushauri vitu gani hasa vya kufanya service
  7. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari ni suzuki escudo automatic transmission gari hii niliisimamisha mwaka mzima kwa tatizo la gear zilikuwa zinaslip hivi karibuni nilitaka nilifufue gari hili na kabla ya kufungua gearbox nilikuta coil moja imekufa pia fuel pump ilikuwa imekufa baada ya kufanya replacement ya vitu hivyo gari...
  8. M

    Simba iombeni radhi Ngome FC

    Mpira ni mchezo unaochezwa hadharani
  9. M

    Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Kizota haijawahi kuwa makao makuu ya CCM
  10. M

    Kuuliza si Ujinga, hivi familia ya Kinana ipo Tanzania?

    Mtemi wa Mwagala au vipi?[emoji28][emoji28][emoji28]
  11. M

    Mwakilishi wa Kampuni ya N-Card: Taarifa inayosambaa kuhusu Yanga SC kuizidi Simba SC mapato ni Uwongo

    Pengine malengo ya kila timu yalikuwa tofauti timu moja ililenga kipato na timu nyingine ililenga kujaza uwanja
  12. M

    Rushwa ya ngono maofisini na vyuoni bado ni tatizo kubwa

    Mwingine ili apate favour kazini anajilengesha kwa boss hii nayo imekaaje
  13. M

    Uongozi wa Yanga wakishukuru kikosi chao kwa sare na Nyasa big bullet ya Malawi

    Na mimi nadhani ni hivyo si uliona jezi zimekwenda kuzinduliwa ikulu ya Malawi
  14. M

    Jonas Mkude apimwe akili kama akikubali gwaride la heshima la Simba

    Mtu akipimwa mkojo siyo lazima ana ugonjwa wa zinaa
  15. M

    Viazi vitamu vyadaiwa kuzalisha mapacha

    Usukumani pangekuwa na mapacha wengi sana
  16. M

    Tetesi: Baraza la Maaskofu (TEC)kukutana hivi karibuni

    Waraka utatumwa kwa jumuiya ya wakatukumeni?
Back
Top Bottom