Search results

  1. prado

    I hate this

    .......
  2. prado

    Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

    Ukilala ukiamka, ukila ukishiba, ukinya ukimaliza basi utaanza kuwasema UKAWA. Back to the point, Lowassa wa leo si Lowassa wa miaka 8 iliyopita, you are judging the different person. As u know people change, every saint got a past and every sinner has a future, only God can judge us all coz...
  3. prado

    Nahitaji ushauri kuhusu Mkopo wa kujenga nyumba

    Habari wanaJF, nawapenda, nawakubali sana. Najua humu kuna watu wa aina tofauti,na wamebarikiwa kitofauti, so every one's view is special and important to me! Me ni jinsia ya 'KE' umri 24+ mwajiriwa serikalini, mshahara not less than mia5 Tshs, sina familia, bado naishi kwetu. Nataka nichukue...
  4. prado

    Broken hearted

    Moyo unauma sana kisa hanitaki tena, sijajua kama ni hasira au ameamua kabisa sababu ya msingi siioni, ila ndo kaniblacklist, bad enough I was so committed na nilimpenda kwa Moyo wote kabisa, nikampa heshima zote anazostahili mume, I wish to move on but sina uhakika if I can love again, my heart...
  5. prado

    Tanzia: Aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Ualimu Morogoro afariki dunia

    Aliyekuwa mkuu wa chuo ya Ualimu Morogoro zamani kikijulikana kama Kigurunyembe, Mayombo Ngonyani amefariki dunia ghafla jana usiku. Msiba upo nyumbani kwake Bigwa, Morogoro.
Back
Top Bottom