Search results

  1. Bob Kawari

    Waandaaji Kili marathon mjitathmini upya

    Kitendo chenu cha kuwahi kufunga usajili hasa wa mbio za halfmarathon kwa kusema ticket zimeisha mapema ni cha kizembe na kukatisha watu tamaa, mkumbuke kuwa haya malalamiko yameanza tokea mwaka juzi kwa washiriki lukuki kukosa nafasi ya kujisajili. Mjue kuwa huu mchezo umetokea kupendwa miaka...
  2. Bob Kawari

    Lichuma linafaidi utamu...

  3. Bob Kawari

    Wanaume wanaoamini kumteka mwanamke ni lazima uwe na fedha/mali nyingi ni wazembe

    Heshima kwenu wanaJF, Kama mada inavyosema hapo juu, Kwa muda mrefu kumekuwa na hii dhana potofu kwa baadhi ya wanaume wenzangu kuwa kumteka hisia mwanamke kimapenzi ni lazima uwe na fedha/mali za kukufanya uonekane upo daraja fulani la juu. Kwa upande wangu napingana na hii dhana na niseme...
  4. Bob Kawari

    Ndio narudi kutoka Eritrea

    Wahini wadau kabla sheria haijabatilishwa. :-P:-P
  5. Bob Kawari

    Ukweli kuhusu jamii ya wandorobo

    Kwa muda mrefu nimewahi kusikia hadithi kadhaa kuwahusu hii jamii/kabila la Wandorobo japo katika kutembea kwangu mbugani sikuwahi bahatika kukutana na hawa jamaa. Ingekuwa vizuri kwa wenye uelewa kuwahusu hawa wazee wa pori japo watupe ufahamu kidogo.
  6. Bob Kawari

    Naomba muongozo wa biashara ya Bookshop

    Heshima kwenu wadau, ningependa kupata muongozo wa hii biashara ya bookshop kwa wenye uelewa nayo niweze kujua mambo kadhaa. Ni wapi naweza pata mzigo kwa bei poa. Ni vitabu gani hasa natakiwa kuwa navyo.Napia nahitaji kujua kuwa changamoto zake ni zipi hasa.
  7. Bob Kawari

    Afrika ndio kila kitu

    tujivunie vya kwetu
Back
Top Bottom