Search results

  1. nyakim

    Soko la tangawizi.

    Wakuu habari. Ninahitaji msaada kidogo nasikia kuna viwanda vinanunua tangawizi ghafi. Kwa dar kiwanda hicho kiko sehemu gani? Na vipi bei zake zikoje? Na mzgo wanahitaji uliosagwa au ambao bado? Kwa aliyetayari naomba tuwasiliane 0766570614
  2. nyakim

    Ushauri wangu wa bure kwa Zitto Kabwe na CHADEMA

    KUHUSU KINACHOJILI MITANDAONI KUHUSU ZITTO. Nimekuwa nikifuatilia japo si mda wote maoni ya wadau mbalimbali mtandaoni kuhusu kinachojili hususani hatima ya zito kisiasa, na hatima ya ubunge. kweli dunia imejaa watu wa aina zote, kuna watu wana huruma ila hawana ufahamu, kuna watu wana ufahamu...
Back
Top Bottom