Search results

  1. PingIdea

    Hii ndio mantiki ya kubadilisha dini kwa ajili ya mwanamke

    Ni bora kila moja kuheshimu imani ya mwingne
  2. PingIdea

    Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]toa ushauri wa kuwasaidia walimu nini kifanyike?
  3. PingIdea

    Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

    So unashauri Taifa lisiwe na walimu? Kwamba ualimu Hakuna umuhimu haha haha kama wote watasoma wakawa na mawazo ya kupata vx basi Hakuna maana ya Maisha na hujui maana ya maisha (hujui kwanini unaishi) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jitafakari
  4. PingIdea

    Hii ndio mantiki ya kubadilisha dini kwa ajili ya mwanamke

    Kwa maana hiyo Dini yako itakuwa mbovu na unaprove wazazi wako walikuwa wrong kukukuza kwenye maadili ya Dini yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]so unaenda kuprove kwa wakwezako ulikotoka hujalelewa kwenye maadili[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. PingIdea

    Je, kiki zinazozidi kushamiri ni agenda na mikakati ya Serikali?

    [emoji23][emoji23][emoji23]Ni hatari
  6. PingIdea

    Je, kiki zinazozidi kushamiri ni agenda na mikakati ya Serikali?

    Kama nilivyoandika je uwepo wa Kiki hasa kwa wasanii wetu wakubwa ni agenda na mikakati ya serikali kupambana na mitandao ya kijamii? Mfano uwepo wa agenda nyeti za kujadiliwa na nchi hasa kuanza kwa bunge kumekuwa na mlolongo wa matukio ambayo binafsi Naona ni plan ya serikali ili kuwapumbaza...
  7. PingIdea

    Fikiria mtu huyu hadi sasa hivi hajakamatwa, na wale wengine pia kimya

    Ni ngumu kumshika mtu asiyejulikana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania ya makinikia hii ni shiida Sent using Jamii Forums mobile app
  8. PingIdea

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hii thread imeanza muda mrefu sijui kama nimechelewa ila nitajitahidi kuifatilia Sent using Jamii Forums mobile app
  9. PingIdea

    Lissu: Serikali hii (ya Magufuli) ni ya hovyo, huyu dikteta uchwara anahitaji kupingwa na kila mwananchi

    Aliyeandika ndiye akamatwe coz umemtukana Rais kupitia Lisu japo matusi hujayataja ila unadhamira hiyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  10. PingIdea

    Hali tete kwa ACACIA: Wawekwa pembeni kujadili kanjanja yao

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naiombea Tanzania ya viwanda na makinikia
  11. PingIdea

    Hali tete kwa ACACIA: Wawekwa pembeni kujadili kanjanja yao

    Hivi ni lugha sahihi kusema acacia wanatuibia au wametuibia?[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] tusijifanye hatuoni yaaani MTU kaja na ukampa mwenyewe halafu unasema mwizi hii ipo Tanzania tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. PingIdea

    Msukuma: Miswada mitatu ya dharura kama huna akili hata wakikupa siku 10 hutaweza ijadili

    Sifa kuu ya CCM : 1: Usiwe mjuaji wa ukweli 2: Uropokaji bila hoja ni sifa kuu 3: Kabla ya kuongea utumbo tanguliza kushambulia upinzani unaruhusiwa pia kuattack physically 4: Uwe mjua matusi hata kama ukatukana nchi nzima utashangiliwa 5: Ujue kuiba popote ulipo 6: Usomi siyo kigezo kikuu jua...
  13. PingIdea

    Sheria yetu ya madini na wabunge wasioelewa dhima yao

    Lisu ana akili kuliko watanzania wengi hasa wanaoamini CCM ina nia njema na nchi hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa sheria hizo zilipitishwa na upinzani? Kama upinzani hauna nguvu ya kupitisha ( idadi ndogo) sheria unategemea nn? Malalamiko ya Lisu ni...
  14. PingIdea

    CHADEMA sio NYINYI TU, CCM tumewapoteza wengi kisiasa tukiamini mnahusika.

    Unabariki unajishi kwa kudhani upande unaolalamika na kuonewa ndo wenye mapungufu na kosa lao kulalamika huku ukiwashauri waendelee kutangaza amani hata kama wanaumizwa Unawaunga mkono waharifu et kwa vile wao ni waharifu ila wanatangaza amani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
  15. PingIdea

    Tundu Lissu: Nape si shujaa, amevuna alichokipanda!

    Alikuwa shuja wa tukio ila ushujaa aliojitengenezea na kusahau alitengenezaje
  16. PingIdea

    Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

    Scorpion [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  17. PingIdea

    Wanaume wenzangu someni hiki kisa cha ukweli mpate kujifunza kitu ndani yake

    Umefeli kutunga so hujui kuufanya uwongo kuwa ukweli
  18. PingIdea

    Nimegundua Gwajima ni mwoga, mnafiki na mwepesi mno!

    Wewe ndo mwoga na mnafiki Kwani ulitaka Gwajima aseme nini ambacho wewe huwezi sema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama siyo mwoga jitokeze na useme ambayo ulitaka wewe Gwajima aseme[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  19. PingIdea

    Nimegundua Gwajima ni mwoga, mnafiki na mwepesi mno!

    Kumgusa Rais ni kuitoa nchi sadaka Kuwa mwenye akili acha kulopoka Viva Gwajima
Back
Top Bottom