Search results

  1. Chaliifrancisco

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Russia hakua na uhasama na Ukraine ila Ukraine kumkaribisha US ndio shida ilipoanzia
  2. Chaliifrancisco

    Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

    This shit is hillafious. How are you going to count 1000 notes at the counter with no money counting maachine?
  3. Chaliifrancisco

    Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

    Kuna jamaa yangu washkaji zake walikuwa na baba yao mzee kweli alikuwa anaugua sana na wakaplan mazishi maana walijua hatachukua week kadhaa. Kilichotokea ni kuwa yule mzee alikuwa anaibuka ghafla anaomba ugali mkubwa na samaki na anaomba nyongeza. Hali hiyo iliendelea miaka miwili mpaka...
  4. Chaliifrancisco

    Erick Kabendera aitaka Vodacom imlipe Dola Milioni 1 kwa kufanikisha kutekwa kwake 2019

    Kenge wewe. Mafuriko ya hapo uyebusini una bahati huwa yanakuwa yameganda mbusi wewe.
  5. Chaliifrancisco

    Peter Kibatala: We need a Police to Police the Police

    Bado sijaoa mrembo. Vipi nilete mahari kwenu? Njoo PM basi.
  6. Chaliifrancisco

    Erick Kabendera aitaka Vodacom imlipe Dola Milioni 1 kwa kufanikisha kutekwa kwake 2019

    What do you always imply by quoting me under this fellaz comments? He's articulate though. I admire him.
  7. Chaliifrancisco

    Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

    Youtube.. 1. Kurzgesagt - In a nutshell 2. Free Documentary 3. The Engineering Mindset 4. The Stoic Community 5. Aperture 6. DIY Garden Ideas 7. Histographics 8. Kento Bento 9. Vice Life 10. The Infographics Show 11. Medieval Madness 12. Thomas Schwenke Reddit ni forum kama Jamii Forums. Yani...
  8. Chaliifrancisco

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Kabla yakuandika ungesikiliza au kusoma kwanza maelezo ya jeshi la polisi kisha sasa kama una akili timamu uje uandike huu upuuzi ulioandika. Kiujumla maelezo ya jeshi la polisi ndio yana mkanganyiko na ndio maana watu wenye akili tunahoji inakuwaje?
  9. Chaliifrancisco

    Kweli mapenzi yananenepesha

    Emoticons tu?
  10. Chaliifrancisco

    Peter Kibatala: We need a Police to Police the Police

    Polisi Tanzania ni aibu kubwa kabisa. Ina maana jeshi lote limejaa wajinga tu? Hakuna angalau watu wenye ku reason kwa kutumia logic? Je hakuna wenye ufahamu wa utawala wa kisheria? Kuna mambo jeshi la polisi wanafanya yanakufanya ujiulize maswali mengi ya kukera.
  11. Chaliifrancisco

    Mbinu za kuishi na watu wenye tabia ngumu makazini

    Nenda kazini fanya kilichokupeleka rudi nyumbani. Mambo mengine ignore. Hiyo ndio formula nzuri.
  12. Chaliifrancisco

    JamiiForums Usiku wa manane

    0146
  13. Chaliifrancisco

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Tumia akili kidogo basi. Hivi unaijua jiografia hata ya hii nchi? Bwawa la Nyerere limelaumiwa kuwa ni sababu ys mafuriko huko Rufiji. Sasa Rufiji na Ifakara wapi na wapi? Mkiandika muwe mnatumia akili
  14. Chaliifrancisco

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    You don't make sense. You mean they shouldn't raise their voices for fear of not getting chances of being appointed to take a public office? You mean they will ruin their chances of occupying a public office just because the police have slapped false accusations on them? Your thinking is of a...
  15. Chaliifrancisco

    Unatumia muda mwingi na bando kubwa zaidi ya data kwenye platform ipi ya mtandao wa kijamii?

    Youtube. Infact situmii kitu social network nyingine zaidi ya JF, Reddit na Youtube. Jambo la msingi ni kuwa situmii kuangalia ujinga bali huwa najifunza mambo mengi sana kwenye channels za maana.
  16. Chaliifrancisco

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Umesoma ulichoandika mkuu na ukaona umeandika kitu kinachoeleweka?
  17. Chaliifrancisco

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Hukawii kusikia Murilo akiita press kusema kuwa katika upekuzi wamefanikiwa kukamata kilo nne za cocaine, bunduki mbili aina ya AK47 na nyingine gobore la kienyeji na magazine yenye risasi 13 nyumbani kwa Malisa pale Old Moshi.
Back
Top Bottom