Probably kilichomtoa ni wenye dili za kuingiza nguzo kutoka south Africa..so kuwnzishwa kwa nguzo za zege kumefanya hizi dili zife ndicho amemaanisha mdau
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mke wa mtu si kitu cha kusogelea kama unaakili zinafanya kazi vizuri
Ukiwaza maumivu unayopata ukuhisi unapigiwa the same applys kwa wengine ..usifanye kile amabcho hupendi kufanyiwa.
Binafsi nimewahi fanya ujinga wa kumtongoza mke wa mtu na akakubali ikawa bado kula tu ..ila niliwaza sana namna...
Kumbe tanzania hakuna Corona afu bi mkubwa anasema ipo ..aisee bi mkubwa siyo mzalendo hata kidogo ila magufuli alikiwa jembe kwerikweri ....au nasema uongo ndugu yangu ..msema kweri ni mpenzi wa mungu na razima ukweri usemwe
Msukuma ni mfano mzuri wa maskini kufurahia madhila yanapowafika matajiri typical inferior..kuwasodoa wasomi yeye anafarijika sawa kabisa na wale walio kuwa wakishangilia magufuli akinyanyasa wenzake either waliomzidi kipato au kukubalika na jamii.
This is what I was going to tell him ..aliwahi fanyiwa hivi mtoto wa sister angu kumbe walihitaji ajiunge nao .kama unafanya kazi wanaweza kuja hata mpka kazini kwako just to interview you ...my sister son alifanyiwa hivyo akaitwa lakini alikosea sehemu flani akakosa nafasi.
Mshana kunatofsuti ya mechi na derby ...derby instension Sana inahitaji unakini mkubwa kushughulika nayo leo tff wamezingua aisee mimi na usimba wangu lakini yanga nimewaunga mkono kwenye msimamo wao
Wachache wanakubaliana na hichi kitu lakini a brainwashed mental hawataki na wala hawajaribu kufikiria kitu cha namna hiyo ..nadhani kinachokufanya uwe na amani kama ulivyosema na hata mimi ninavyokuwa kuwa nayo ni kwamba hawa jamaa huruma na wema siyo theory ni practice.
Mkuu kunauzi flani uliandika siku moja wakati nausoma gafla moderator wakaufuta...sijui ntaupataje ...ulikiwa unasema ...sijui kwanini napata amani akitawala...........ni ulikuwa wa kichochezi lakini ulikuwa ukweli mchugu
Pamoja mkuu mtafute huyo kwenye hivyo vitabu vyake viwili anza na misgoded then malizia goded ameweka maarifa mengi Sana..anakufanya uwe huru na confident kwenye kuchambua vitu....namsoma bart kwenye misquoting juses then ninalizie the lost christianity... Wanazi wengi wengi wa wa dini...
Kama alikuwa na shida ya moyo particularly mpaka akawekewa pacemaker alikuwa na haki ya kusema tumuombee, amjitoa sakada kwa ajili ya watanzania maana mwenye hilo tatizo na frastrstion ni vitu tofauti kabisa
Misquoting jesus and jesus interupted by bart ehrman hakuna mkristo free thinker atasoma hivi vitabu bado akaamini katika biblia maana ni fact tupu zipo hapo ..lakini pia kingine ni misgoded and goded by lawrence brown....vinajaribu kuelezea the fact behind bible japo vinasapoti quran lakini...
Mkuu ukimpa mzazi hiyo siyo sadaka ni wajibu wako, ila ukimpa mtu mwingine mwenye uhitaji hapo ndo umekuwa umetoa sadaka..ni hivyo nilimsikiza mwanauzoni mmoja akisema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.