Search results

  1. mzaramo

    Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

    Wewe ni mwanaume
  2. mzaramo

    Hanstone aachia EP nje ya WCB.....aacha maswali mengi

    Mchezaji mpya wa Yanga Afrika kutoka kongo
  3. mzaramo

    Hanstone aachia EP nje ya WCB.....aacha maswali mengi

    Lini na wapi kishawahi kufanya hiyo show na akajaza?
  4. mzaramo

    Kesho TFF kumtangaza Mdhamini wa ligi kuu 2021/2022

    Team nyingi za ligi kuu hazimikili viwanja vyao...vingi ni vya ccm. Ila Rais alisema viwanja vifanyiwe matengenezo na kama wakishindwa wavikabidhi kwa watu binafsi
  5. mzaramo

    Kesho TFF kumtangaza Mdhamini wa ligi kuu 2021/2022

    Sheria ya nchi gani hiyo jamaa?! Azam media si mdhamini wa ligi upande wa "Haki za matangazo"!!!? South Africa kuna Super Sport fc na ligi yao inadhaminiwa na DStv mbona imewezekana au hiyo ni sheria ya TFF peke yake?!
  6. mzaramo

    Baada ya kumbamiza Mnamibia, Mwakinyo apanda chati za ubora duniani hadi namba 13

    Kwani aliejuu ya Kiduku ni Mwakinyo peke yake?!
  7. mzaramo

    Baada ya kumbamiza Mnamibia, Mwakinyo apanda chati za ubora duniani hadi namba 13

    We ushawahi kuona Mayweather akipigana nje ya Marekani?!
  8. mzaramo

    Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

    Watanzania kwa ujuaji ni kiboko yaani we hata kiingereza hujui unajifanya unajua nyie ndio mnapotosha watu mitaani kwa ujuaji wenu. Hiyo debut haimaanishi pambano lake la mwisho Bali pambano lake la kwanza alicheza 2009 punguani wewe
  9. mzaramo

    Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

    Na wewe tukuandalie lini pambano na ubebwe
  10. mzaramo

    Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

    Apigane na Kiduku wakiwa wanagombea kitu gani?! Mbona wewe upigani na Kiduku?
  11. mzaramo

    Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

    Ngumi ni biashara we unadhani wanapigana kupata sifa baadae waje kuteseka na magonjwa sugu uzeeni...angalia rank ya huyo bondia hapo anashika nafasi ya 40 duniani kati ya mabondia 1691 wa uzito wake. Mwakinyo anashika nafasi ya 24 kwa hiyo kumpiga huyu anazidi kujitengenezea record yake na...
  12. mzaramo

    Hivi Mwakinyo amepataje ile KO?

    Lini simba na Yanga zilienda kucheza ndondo cup ili kuzipa uzoefu team ndogo?!
  13. mzaramo

    REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

    We ulikuwa unamjua Manara kabla ajawa msemaji wa Simba?!umejuaje kama alikuwa Simba hapo kabla?! Baba ake mzazi mzee Sunday Manara alishasema Haji ni kijana wetu wa Yanga na tumemlea wenyewe wewe unapingana na baba ake mzazi?!
  14. mzaramo

    Nimetapeliwa pesa, naombeni ushauri

    Watu wa mikoani huwa mnatapeliwa kiboya sana.
  15. mzaramo

    Zifahamu nchi 10 bora kwa usafi barani Afrika

    Elewa Mada...ni jiji linalovutia kwa usafi na sio ujambazi/usalama
  16. mzaramo

    Leo nimejiunga rasmi na Kanisa la Askofu Gwajima

    Huyo ni mla kondoo angalia asikukule na wewe
  17. mzaramo

    ROSTAM VS NIKKI MBISHI " Beef iliyo subiriwa kwa hamu" je Nikki Mbishi atawaweza Rostam ?

    Kama hajui kufumba fumba kwanini hakujibu diss track ya P Mawenge futi 6?!
  18. mzaramo

    ROSTAM VS NIKKI MBISHI " Beef iliyo subiriwa kwa hamu" je Nikki Mbishi atawaweza Rostam ?

    Kuwa Political Rapper ndio kunamfanya Roma asiwe Emcee?! Na hizo Roots za Hip Hop za Nikki ni zipi au ni kubisha bisha kila ukweli na kuwa mjuaji?!
Back
Top Bottom