Search results

  1. M

    Faini za trafiki ziwe mtandaoni

    Lakini si kuna utaratibu wa kuangalia iwapo gari inadaiwa au haidaiwi? Dereva anapopokea gari ni wajibu wake kujiridhisha kama gari lina deni au halina. Mmiliki anawaandalia tu kitabu cha makabidhiano.
  2. M

    Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

    Hahaha kweli sio watu wengi wanaifahamu fasihi. Ili uelewe unapaswa kuwa na uelewa kuhusiana na hadithi zinazojulikana kama Istiara. Tofauti na hapo utakuwa kama wakoloni walioichapisha riwaya za Kusadikika au Kufikirika bila kujua kuwa hayo yasemwamyo humo ni kuhusu wao wenyewe. Wakampa hadi...
  3. M

    Watanzania tukosoane kwa nia ya kujenga na sio kubomoa- Clouds 360

    Mkuu hongera sana. Umekuwa muwazi na mkweli. Kuna muda nilikuwa naipenda sana Clouds 360. Lakini kutokana na uendeshaji wa kipindi chao uliojaa mapendeleo huku wakiwakashifu watu wote walio na mtazamo tofauti na chama tawala nimelazimika kuacha kabisa kuwasikiliza. Kwa mtu mwenye akili timamu...
  4. M

    Toyota gaia/spacio/ipsum zinahitajika

    Mkuu tayari nimekutumia namba pm Post sent using JamiiForums mobile app
  5. M

    Toyota gaia/spacio/ipsum zinahitajika

    Ahsante mkuu. Ngoja tujaribu tuone inakuwaje@ Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  6. M

    Toyota gaia/spacio/ipsum zinahitajika

    Salaam! Kama mada tajwa inavyojieleza, ninahitaji mojawapo ya gari tajwa hapo. Bajeti yangu ni milioni 6- 7.5. Ninatanguliza shukrani. Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  7. M

    Matokeo ya majimboni ya wabunge yanaonyesha CCM wana idadi ndogo ya wabunge wa viti maalum

    Acha uongo na uzushi ndugu yangu! Siasa isitufanye kuwa vipofu! Kutoka mkoa wa Kigoma ni Muhonga Said Ruhwanya, Sabrina Sungura, na Philipa Mturano ( mhonga kaenda ACT na Philipa karudi ccm na kagombea viti maalumu mkoa wa Kigoma akawa wa pili). Mkoa wa Kagera ni COnjesta Rwamulaza. Uongo ni...
  8. M

    Kutoka viwanja vya Barafu Dodoma kampeni za Urais kupitia UKAWA

    Hebu mweleweni mtoa mada wanamabadiliko wote! Alichoandika kinawasuta maccm na mwenyekiti wao kwa uzushi na uongo! Yeye kajionea Dodoma mafuriko ya dhati hivyo wananchi wa Dodoma wamethibitisha uongo wa ccm na vijibwa vyao!
  9. M

    Tanzia: Diwani wa CCM afariki

    Poleni wanasengerema! Hivi huyu si ndio amewahi kuwa Diwani wa Katunguru kuanzia miaka ya 2000 na kisha akawa mwenyekiti wa halmashauri ya Sengerema? Poleni sana wafiwa namfahamu huyo mwalimu Lubongeja ila sikuwa na taarifa kuwa alikuwa diwani wa Mwabaluhi!
  10. M

    Natafuta mitsubish canter mpya tani 4-5

    Ahsante sana mkuu kwa taarifa yako muhimu!
  11. M

    Natafuta mitsubish canter mpya tani 4-5

    Ahsante sana mkuu kwa kunipa darasa tosha!
  12. M

    Natafuta mitsubish canter mpya tani 4-5

    Ahsante mkuu kwa kuniweka sawa
  13. M

    Natafuta mitsubish canter mpya tani 4-5

    Kwa heshima ninaomba kupewa maelekezo juu ya bei ya gari ya mzigo tajwa hapo juu. Ningeomba kuelezwa pia bei yake ni kiasi gani na wapi ninaweza kupa gari hilo jipya! Nitafurahi kama linaweza patikana Dar es salaam au Mwanza Pia ningependa kupata ushauri mwingine wa kitaalamu juu ya mambo ya...
  14. M

    Kitila Mkumbo: Dk Slaa ni Muadilifu na mchapa kazi mwenye nakisi ya hekima na weledi

    Hatuna kitu kinaitwa umahili! Hebu jikite ktk hoja na ukanushe nilichokiandika!
  15. M

    Kitila Mkumbo: Dk Slaa ni Muadilifu na mchapa kazi mwenye nakisi ya hekima na weledi

    Mkuu sijui ambacho ulitaka kunielewesha ni nini? Ndivyo nimeandika shahada ya umahiri ni dugrii ya pili ndivyo nimeandika! Labda unakitu cha kunifundisha karibu!
  16. M

    Kitila Mkumbo: Dk Slaa ni Muadilifu na mchapa kazi mwenye nakisi ya hekima na weledi

    BInafsi ninatofautiana na Profesa Kitila katika suala la mfumo wa elimu alioupitia Dr. Slaa na Ule wa Tanzania hususani katika kipengele kile alichodai Kitila kuwa ni lazima kwa Tanzania upate kwanza shahada ya Umahiri (Masters) halavu ndio usomee Uzamivu. NImkumbushe kwa chuo kikuu cha Dar es...
  17. M

    Majina ya usaili Halimashauri ya jiji la Arusha yametoka

    Kwa kweli hata mimi sijapata taarifa zaidi! Naamini ni ofisi za jiji! Kuna mtu nimemuuliza lakini bado hajanijibu!
Back
Top Bottom