Search results

  1. mwakaboko

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    hata mimi nakutana na hili. Nadhani kuna mabadiliko fulani ya settings zao
  2. mwakaboko

    Kuna mwana JF amesoma ''The Urantia Book"?

    Dunia ina mengi usiyoyajua. Hicho kitu ni cha kweli. Kumbuka technology ya nuclear imeletwa na haohao. Ulimwengu wa aliens upo, sio utani
  3. mwakaboko

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Hii ni moja ya kauli ambazo sizipenda kabisa, hii inafanana na kauli nyingine nisiyoipenda kuisikia ya mfumo dume. On the global called earth, we don't have weak or strong women/woman, there is no weak or strong men/man. Ila wapo wanawake na wanaume. Mengine ya kukera yamezalishwa na watu...
  4. mwakaboko

    Tanzania yaingiza tani 52,000 nyama ya nguruwe kutoka nje

    wanakosa soko!!!!! wapi huko ambako soko lake linakosekana. Mimi niliko, ukichinja nguruwe, anaisha wakati anachinjwa. Uzalishaji wetu uko chini sana.
  5. mwakaboko

    Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

    AAAAAAA Nimefurahia kukuona baada ya siku tele. Najua umenisahau ila mimi sijakusahau. Kilichofanya nisikusahau ni tabia yako ya kunibishia. Niliwahi kukuambia kuwa bei ya umeme haitashuka. Ulinibishia sana tena ukaniona ni msaliti nisiyewatakia mema viongozi wa wakati ule. Nikashikilia msimamo...
  6. mwakaboko

    Saudi Arabia yapiga marufuku adhana, Watoto kuswali misikitini pamoja na sauti za juu

    Kwenye hili la kufunga, mimi huwa sielewi jambo. Najua kufunga ni moja ya ibada muhimu akatika nguzo za dini ya Kiislamu. Ila jambo ambalo silielewi na nadhani huenda itanichukua muda mrefu kupata uelewa, ni suala la mtu kufunga, ila anakasirishwa na mtu anayekula mbele yake. Mimi nikila mbele...
  7. mwakaboko

    Kuelekea kutimiza miaka miwili, video za hayati Magufuli gumzo kila kona

    Hakuna anayemsema vibaya. Jipe kazi ya kufanya na kutafuta habari juu ya nguvu za kifo. Utakayokutana nayo yatakushangaza sana. Kifo kina nguvu kubwa sana. Mwenye kuamua nini kisemwe na nini kisisemwe ni matendo yako. Toka lini Musolini, Hitler, Idd Amini, Savimbi wameongelewa positively...
  8. mwakaboko

    Kuelekea kutimiza miaka miwili, video za hayati Magufuli gumzo kila kona

    Naomba tu, inakuwaje mbwa koko ambaye hana thamani machoni pa watu, akae pamoja na wafalme? Hebu naomba tuoneshe picha zako wewe ambaye sio mbwa koko ukiwa katikati pamoja na wafalme.
  9. mwakaboko

    Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

    Fuatilia mwisho wao, utapata majibu, Anaweza asiadhibiwe yeye, ukapigwa uzao wake, ni kanuni ndivyo inavyosema
  10. mwakaboko

    Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

    Huyo malaika ulimuona wapi. Huyo Yesu ulimuona wapi? Mwamba hapa ni chunga mzigo wako, usikubali michoro mwilini mwako. Usitengeneze malango mwilini mwako, mwisho huujui
  11. mwakaboko

    Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

    Hii comment yako ni ushahidi tosha kuwa mambo mengi ya ulimwengu wa roho, huyajui, Hata nguvu ulizo nazo kuna uwezekano ukawa huzijui. Michoro mwilini ni hatari kwako, kwani sio ubunifu wa kimbingu but from the devil himself. Ukichora unaweka bikoni mwilini (unakuwa lango la kuingilia). Wala...
  12. mwakaboko

    Vyombo vya Habari Tanzania ubunifu ni zero kabisa

    sasa pale kwenye TV, ni kituo cha sala cha RC, mpaka unaanza kufananisha. Kule RC ni utaratibu wa ibada kwa misingi yao ya kiimani. Tuwe wakweli ubunifu wa waandishi wetu wa TV uko chini sana
  13. mwakaboko

    Shaka Hamdu Shaka msumari wa moto kwa Upinzani Tanzania

    mtoa post sema ukweli, mimi ni CCM. Tanzania hatuna uwanja sawa wa kisiasa. Mtu anatoka golini kwake hakutani na mkabaji yeyote, anafunga halafu, unamsifu kuwa ni mchezaji mzuri kwa kipimo gani? Mtoa post jizoeze kujiuliza maswali magumu
  14. mwakaboko

    Miezi 7 bila Dkt. Magufuli; Noti mpya iliyopakwa Dhahabu, Almasi, Tanzanite ingeileta Tanzania mpya katika uso wa dunia

    asante kwa article nzuri. Wakubwa hawataki kipimo cha dhahabu, Tanzanite wala Almasi, maana kinavuruga biashara zao. Hata hivyo nauliza, ni nani alishusha thamani ya hela yetu?
  15. mwakaboko

    Huu hapa ujumbe Muruwa wa Baba Askofu Shoo kwa Rais Samia

    Hakuna aliyekuzuia kuyaweka hadharani, unaogopa nini na unamwogopa nani, weka tuyasome. Maadamu tu yawe na uhalisia ziwe ngano
  16. mwakaboko

    SoC 2021 Mikopo ya Biashara ya Vijana Serikalini

    Sheria na kanuni, bado zinafanyiwa kazi kwa mkopo wa mtu mmoja mmoja. Wanaolalamika kuwa wanakosa wakiona, tatizo sio maombi. Maombi yakiwa mengi wapo watakaopata na watakapata. Maafisa Maendeleo ya Jamii ndiyo wanaohusika na mikopo hii. Mikopo hii, haina upendeleo. Vijana muwe waaminifu...
  17. mwakaboko

    #COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

    Watanzania gani unaowazungumzia, hawa hawa ninaowafahamu au wengine!!!!!!!!!!!!
  18. mwakaboko

    Huwa kila siku natafakari umuhimu wa Baba katika maisha ya kila Familia

    sio fear, wala shangazi yake hofu. Kanuni iko wazi. Yupo mpendwa anayeitwa uzao wa laana. Angalia hata analysis yako iko very negative about your dad. Wewe ni nani hata umuhukumu BABA YAKO, eti unatoa maksi C. Well, kanuni iko wazi, kuna gharama. Angalia wanao nao watakupatia maksi hizo, na sio...
Back
Top Bottom