Search results

  1. I

    Kwanini watawala wanaogopa demokrasia?

    Katika nchi hususan za Kiafrika, watawala wamekuwa wakionesha uoga mkubwa wa Demokrasia ingawa ndio inapelekea wao kuchaguliwa na kuingia madarakani. Wamekuwa wakitumia nguvu kubwa hasa ya dola ili kuzima harakati zozote za kidemokrasia zinazofanywa wakiwa madarakani. Je uoga huu unasababishwa...
  2. I

    Mageuzi Urusi yalikuwa Oktoba 25, Je itakuwa hivyo Tanzania?

    Mwaka 1917, tarehe 25 mwezi wa 10 yalitokea mageuzi makuba Urusi. Je tarehe 25 mwezi wa 10, itakuwa hivyo Tanzania ?
  3. I

    Orodha ya waliopigwa,walioufungwa, waliopoteza uhai tangu tupate uhuru

    Watanzania wote kwa ujumla, Naomba tuandae orodha ya waliopigwa, waliofungwa, waliopoteza uhai na waliotendewa vibaya tangu Tanganyika na Zanzibar zipate uhuru. Nitatoa miafano:- Watu wampoteza uhai kama akina Kassim Hanga, Karume, Kleruu, Mwangosi na wengine wengi Watu wameng'olewa kucha, meno...
  4. I

    Kinyago cha panya na dr. Slaa

    XXX majuzi alikuwa nyumbani kwao. Katika pita pita akakutana na Mmakonde mmoja aliyekuwa anauza vinyago. Alivutiwa sana na kinyago kimoja kilichokuwa kinafanana na panya. Kilichongwa kwa ustadi kiasi ya kwamba hata manyoya ungedhani ni yenyewe; wacha kichwa, miguu, mkia na vingine. Akamwuliza...
  5. I

    Dr. Peter bujali - ukimya wake ni kujiandaa kwenda chadema?

    Jamani, dr. Peter bujali siku za nyuma alikuwa mwana siasa mahiri wa ccm hapa ngara. Siku hizi ni kimya kabisa. Wengi wanasema kwamba kimya chake ni maandalizi mazito ya kuvuka mto na kwenda chadema. Yeye anasemaje?
  6. I

    Wafanya kazi wa halmashauri wawe wanahamishwa ili wasijisahau na kuota miziz

    CHANZO cha Halmashauri ya Ngara kupata hati chafu kwa miaka miwili mfululizo imeelezwa kuwa imesababishwa na watumishi kufanya kazi kwa mazoea. Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Constantine Kanyasu, alibainisha hayo mwishoni mwa wiki katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa ( RCC) Mkoa wa Kagera...
  7. I

    Nape na kinyago cha panya

    Nape majuzi alikuwa nyumbani kwao. Katika pita pita akakutana na Makonde mmoja aliyekuwa anauza vinyago. Alivutiwa sana na kinyago kimoja kilichokuwa kinafanana na panya, na kilichochongwa kwa ustadi kiasi ya kwamba hata manyoya ungedhani ni ya panya; wacha kichwa, miguu, mkia na vingine...
Back
Top Bottom