Search results

  1. J

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Habari Mimi pia nimevutiwa sana na hii biashara ya forex baada ya kuattend semina moja iliyofanyika Belmont Hotel hapa Mwanza Ila sikupata nafasi ya kujifunza kwa sababu ya shuleNaomba mnisaidie ni vitabu gani vizuri nivisome kwa ajili ya kujifunza vizuri kuhusu forex na namna ya kutrad kwa...
  2. J

    Kozi ipi ina future nzuri kati ya Mechanical na Automobile Engineering

    Habarini wana JF nimechaguliwa NIT automobile ila ninataka kubadili nisome mechanical engineering kwa sababu siijui vizuri automobile naombeni ushauri wenu ipi kati ya hizo mbili ni nzuri na ina future poa kabisa
  3. J

    HABARINI

    Habarini za asubuhi wana JF mimi nimechaguliwa Automobile engineering pale NIT Dar lakini kwa kuwa sina ufahamu mzuri kuhusu hiyo kozi nataka kubadilisha nikasome mechanical naomba ushauri wenu ni kozi ipi ambayo ni nzuri yaani future yake iko poa pia kuhusu mkopo ukibadilisha kozi je inashida...
  4. J

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Wakuu naomba msaada WA jinsi ya kuapply scholarship kwa ajili ya medicine nchi yoyote ambayo maisha yake sio ya juu sana namaliza form 6 2018 mwezi WA tano
  5. J

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Padri Mcharo, Mkubwa Tumia Ustaarabu unapoongea kuhusu dini za watu sio kama vile unazungumzia siasa tabia yetu sisi binadamu huwa tuna focus kwenye makosa siku zote na hatuangalii yale mema yanayofanyika em tutumieni upeo WA fikra yakinifu tulizonazo
Back
Top Bottom