Vizuri sana. Kweli Mwalimu amefanya mengi na hata Marais waliopo madarakani bado wanamkumbuka jinsi alivyokuwa mstari wa mbele kwa ajili ya ukombezi wa Bara la Afrika. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRIKA. AMEN
Wapo wengi wenye div. one. Hawa ni wale walioajiriwa wenye shahada mbalimbali. Tusiwadharau Polisi wengine ni wasomi kweli kweli. Ila ukiwa msomi utajutia usomi wako. Kupanda cheo ni kazi.
Goziba ni kwa Mhe. Mwijage. Lazima aende huko ili akawape pole ingawaje kwenda Goziba huchukua masaa kumi kwa boti ya kawaida na kuna upepo mkali sana.
Mimi nimesoma nao ni watu wanojikweza sana. Mkenya mkifanya naye biashara ujue utaliwa tu. Siku za mwanzo atakuwa rafiki yako kweli baadaye unapompa mzigo wa millioni kama hamsini basi hutamwona na ataingia mitini. Ukimfuatilia ataqkutishia kukuua. Ogopa sana watu wa Kenya. Msifanye nao...
Mimi binafsi leo nimepata taabu ya mwaka wakati nilipokuwa mjini na gari langu ndogo. Barabara ya kutoka mjini kuja Nyakato na ya Nyerere Road haipitiki. Kuna Mabus mengi yamesimama Nyerere Road tangu saa mbili asubuhi yakielekea Musoma, Sirari, Bariadi hakuna njia ya kupita. Watoto wanalia na...
Maswi ameonewa sana. Yale aliyotekeleza Maswi ni Maagizo kutokana na barua ya Werema. Maswi ni JEMBE. Aliyoyafanya Maswi mmeyaona na mtazidi kuyaona, ni vyema akarudishwa kwenye madaraka yake mara moja.
BOT Governor is Professor Benno Ndulu the renowned Economist whereas the Tanzanian currency has depreciated at alarming rate. Mr. Governor please take action like your counterparts in Kenya and uganda.
Wasomi wengi wapo upande wa upinzani kwa sababu ni waelewa, wachambuzi wa mambo, wanajua nchi inaelekea wapi, wanajua umaskini umeletwa na watawala na wana uchungu na nchi yao inayoitwa MAMALAND.
Kwa hali ya kawaida KURA YA MAONI haiwezi kufanyika kwa sababu SERIKALI haijafanya maandalizi ya kutosha. Naomba wananchi wasiburuizwe hivyo KURA YA MAONI inataka maandalizi makubwa na ya kutosha.
Sikushauri kabisa ununue Costa au Hiace. Huu ni ugonjwa wa moyo. Afadhali ulalie hela zake chini ya godoro kila siku unaziangalie na unazikuta intact kuliko kununua Costa au Hiace.
Kwa kweli CCM ijipange kama wanataka ushindi Oktoba, 2015. Wananchi wana hasira kuona walivyo kwenye dimbwi la umasikini ili hali watu wachache wanaishi kama wapo peponi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.