Habari wana Jamii Forum, naomba wenye kujua hili wanisaidie. Nimebadirisha rejeta ya gari yangu baada ya iliyokuwepo kuwa inavuja sana, niliunga sana na ikachoka kabisa, na hii niliyoweka ni mpya kabisa, lakini Cha ajabu nikiwa naenda safari ndefu kidogo mshale wa temp unashuka mpaka zero Ila...
Yaani Lisu risasi za kutosha mmepiga, lengo mumuue, kaenda kutibiwa nje mnaona eti kaenda kuuza nchi, hivi nyie mtakuwa mambumbumbu hadi lini? So mlitaka atibiwe hapa ili mtimize lengo lenu la kumuua, uzuri mmeona ni kiasi gani watu wameichoka CCM, pamoja na kujitapa mmefanya mambo mengi mazuri...
Hizo ni hujuma tu, mi nimewahi kufanya field TBL machine zao zinaweza ku sense hata chembe ya uchafu na chupa inatolewa kwenye line automatically, uchafu km huo hauwezi kupita bila kuonwa
Nilichokiona wengi mmezoea mkienda mahotelini mnakutana na vyakula vilivyokaa kwenye freezer siku kibao na vingine vya makopo, sasa Mbeya mnapewa chakula very fresh from shambani mnaona sio kizuri, watanzania tunakwama wapi aiseeee
Kweli nimeamini siku hizi jf imepunhukiwa great thinkers, hivi mnakomaa na figure ya mshahara aliyotaja mdau mnafikiri yeye hana akili ataje mshahara wake halisi humu jf, kweli??? Mmeacha swali kuu alilouliza watu tunakomaa na figure fake aliyoweka, hivi mnadhani baada ya kuulizwa mshahara wake...
Mimi nina Mazda Premacy ya 2001 gari ni imara sana hizi km unaifanyia service vizuri. Ninayo toka 2010 haijawahi nisumbua zaidi ya shock up tu ambazo bado sijapata wapi wanauza new ones
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.