Search results

  1. PetterIsuti

    Simu ya M Koba UGANDA

    Habari wana jamvi, nina simu aina ya Samsung nilikuwa niliuziwa na mtu, kwa bahati mbaya hii simu kumbe ni zile za mkopo za M Koba Ya Uganda, nimekuwa natumia vzr lakn leo imejifunga na inaomba kulipiwa bahati mbaya mm sijui hizo namba za kulipia za Uganda, km kuna mtu anaweza kujua namna ya...
  2. PetterIsuti

    Kuna ambae amefanikiwa kupata dream league 2020

    Kuna ambae amefanikiwa kupata dream league 2020 maake mimi nimeipata kwenye apkpure lakini inaniomba mpk niidowanlod kwenye play store, kama kuna mwenye maujanja zaidi anisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  3. PetterIsuti

    Bima ya afya ya bei nafuu

    Naomba mwenye kujua bima ya bei nafuu anijulishe, kwani nimenenda NHIF kikweli bei zao zipo juu sana. Naomba mwenye kujua anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. PetterIsuti

    Clouds Media Group CMG

    Najua wengi humu ni wadau wakubwa wa Clouds Media Group CMG, Hivyo nimeamua kuanzisha uzi huu uwe mahususi kwa ajili ya wadau waote wa Clouds popote walipo duniani, chochote kile ulichonacho kuhusu Clouds sio mbaya ukakiandika hapa. Kumbuka hii Redio ilianzishwa December 2 Mwaka 1999 hvyo huu ni...
  5. PetterIsuti

    Msaada password ya snapchat

    Wana jamvi nimesahau password yangu ya Snapchat kama kuna anayeweza kunisaidia kuirudisha please anisaidie
  6. PetterIsuti

    Tatizo la camera kwenye Tecno H6

    Habari zenu wana jukwaa, i hope mko poa. Mimi nina tatizo moja simu yangu aina ya techno h6 camera yake imegoma kufanya kazi kila nikienda kwenye camera inaniandikia hivi Can not connect to camera sasa nashindwa kuelewa tatizo nini, kama kuna mwenye kufahamu tatizo hilo linatatuliwa vipi...
Back
Top Bottom