Search results

  1. sambeke

    Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

    Mkuu the boss usifananishe uwekezaji wa NMB, sijui blabla za breweries na kitu kinaitwa Bandari mkuu
  2. sambeke

    Dkt. Elly: Elimu ya Tanzania ni ya Kikoloni kumiliki rundo la Vyeti, Wachina Wenye Vyeti ni Wachache lakini kila Mchina ana Maarifa!

    Aisee amefanya transformation kubwa sana vichwani kwa wa tanzania wengi sana nikiwemo mimi nimebadilika vitu vingi sana, Najua kwa akili yako ya slimy ya kikoloni huwezi kuelewa
  3. sambeke

    Dkt. Elly: Elimu ya Tanzania ni ya Kikoloni kumiliki rundo la Vyeti, Wachina Wenye Vyeti ni Wachache lakini kila Mchina ana Maarifa!

    Mkuu humjui Dr. Elly wewe, jamaa ni genius sana. Jaribu kumfollow mafundisho yake uone.
  4. sambeke

    Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

    Akhera nguvu za nini acha tufike na uchovu tupumzike. Kikubwa tu tufike
  5. sambeke

    Elimu bila ada, Kidato cha Tano kizungumkuti

    Hii serekale inajua kucheza na akili za wadanganyika visuri sana. Unaambiwa umefutiwa ada halafu unaambiwa leta gunia la mahindi, maharage, mafuta ta kula, hela ya mlinzi, nk. Ukipiga hesabu ni karibu 300,000, halafu ada iliyofutwa ni 70,000. Si wangetoa hiuo michango tubaki na ada. Halafu...
  6. sambeke

    CCM imepigwa kitu kizito kisogoni

    Nakubaliana na wewe kwamba walioifanya CCM kwenda ICU ndiyo wameeudi Chini ya upole wa mama SSH. Ccm inaenda kuwa dhaifu lakini si dhaifu kufikia udhaifu wa upinzani. Wapinzani bado hawajaweza kushawishi wapiga kura. Wanacheza ngoma ya watawala. Wamekuwa ni kikundi cha kusubiri ccm kafanya...
  7. sambeke

    Naomba kujuzwa shule nzuri ya watu wazima inayofundisha kiingereza kwa Arusha

    Wadau nisaidieni shule nzuri au CLUB nzuri ya kiingereza kwa mkoa wa Arusha.
  8. sambeke

    Kesi ya Mbowe na wenzake 3 imebainisha DCI na CID hawajui kuendesha Sting Operations

    Dah mkuu nimesoma hili bandiko lako akili yako ni kubwa sana, kama wewe ni raia tu basi una uwezo mkubwa sana wa intelligence nawaza inakuwaje walioko kwenye system wanafeli. Matokeo yake kesi ina kuwa na mashaka mengi sana kuanzia mwanzo wake mpaka mwisho. Serikali inajitia aibu sana.
  9. sambeke

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Uko sahihi sana mkuu tena bora Hangaya angeenseleaga kukaa kimya tu kuliko alivyoanza kuongea. Mara tunamwona jobo chamwino eti kaitwa na mama. Mara anaaza kuchonganisha aliowatumbua na mawaziri, hivi unamweka Lukuvi ofisini kwa waziri mkuu ili afanye nini sasa, Kabudi wa watu eti anasaidia...
  10. sambeke

    Kabudi na Lukuvi wamehudhuria kikao cha Mawaziri kwa vyeo gani?

    Kazi flani flani, ni zipi hizo ai kupika
  11. sambeke

    Kama ni muhimu ule usiku, kula matunda. Kama huna matatizo ya kiafya usile itakusadia kupunguza uzito uliokithiri

    Starch ( wanga) pia ni muhimu sana, ili kukupa nguvu, ukiacha kwa muda mrefu unaweza kuja kupelekwa na upepo
  12. sambeke

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Kwaza unaenda duka la silaha unachagua bunduki/ bastola, then unalipia unaacha hapo, unaenda kwa Mwenyekiti wako wa kijiji anakupa barua ya utambulisho, then unaenda kwa ofisi ya mkuu wa wilaya, kuomba kibali, utajadiliwa na kamati ya Ulinzi na usalama, wakiridhika wanakupa kibali, unaenda...
  13. sambeke

    Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

    Mkuu inategemea na level. Kuna watu wanasoneshwa wakiwa kazini tayari ( yaani alishaajiriwa na serikali na tangu yuko shule alikuwa anapewa mpaka mshahara na gov. ) Yuko kazini anapelekwa kuongeza elimu na serikali. Huyu akimaliza anatakiwa aendelee palepale kwa muda huo wa angalau miaka...
  14. sambeke

    Askofu Bagoza: Ukisomeshwa na Kanisa halafu ukahamia Serikalini nani ataifungia Serikali?

    Mimi ninavyojua unapokuwa na mkopo wa serikali unakuwa na mkataba labda wa miaka miwili kufanya kazi nao mpaka umalize deni then unakuwa huru kufanya kazi kokote. Sasa kwa case ya dakitari huyu wa Tabora ni ngumu kulaumu upande wowote sababu hatujui mkataba ulikuwaje. Kama alikuwa hajamalza...
  15. sambeke

    Waziri Jafo atangaza wiki moja ya "nyungu" season 3

    Wewe unasubiri binadamu mwenzio akwambie kama iko au hakuna? Si ujiongeze mwenyewe kwani huoni
  16. sambeke

    TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

    Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao. Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam...
  17. sambeke

    Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

    Kwani mji mkuu si Chato
  18. sambeke

    Zanzibar: Rais Mwinyi apendekeza kuundwe Kamati ya kushughulikia unyanyasaji wa Kijinsia

    Hata mimi nilisikia ni mahakama maalumu na sio kamati.
Back
Top Bottom