Search results

  1. brighton christopher

    KWELI Kushiba sana usiku na kulala Chali huongeza nafasi ya kukabwa na Majinamizi

    Duh ni juzi tu hali hii ilinitokea nilipiga kelele sana lakini wapi nikanyanyua mkono lakini wapi nikabaki kusema kimoyo moyo kwa jina la yesu....kwa jina la yesu hali hii ikitokea unapaswa ufanye nini ilikuiondoa na je inaweza kuduma takribani kwa dakika ngapi au masaa mapangi.Ahsnte
  2. brighton christopher

    Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

    Huo utaperi umeonyeshwa wapi tusaidie kutufungua macho
  3. brighton christopher

    Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

    Hakuna mkamilifu kila binadamu namapungufu yake sijaona kosa la mleta taarifa za taasisi
  4. brighton christopher

    Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

    Maelezo mjarabu kabisa Hongera
  5. brighton christopher

    Ni hatari sana kwa Mwanaume kushinda nyumbani

    Iko vzr ukiyazingatia haya hutagombana na mwenzako.ujumbe mjarabu kabisa
  6. brighton christopher

    Heslb, loan refund siku ya 110 hakuna refund

    Nimeongea nao leo kwa njia ya simu majibu yao wanasema kila kitu kipo kwenye system siku 90 zinaweza hata kupita kwamba wapo watu walioomba tangu July hajalipwa hivyo niwe mvumilivu. Naomba kuuliza hivi system inasetiwa automatically zikifika siku hiyo ili itoe pesa Kwa alijaza fomu online au...
  7. brighton christopher

    Heslb, loan refund siku ya 110 hakuna refund

    Kiongozi hata mimi niliomba refund fund yangu mpaka leo sijalipwa kwenye ahadi wako vzr ila kwenye utekelezaji changamoto nafikilia kwenda ofsn kwao nikaulize tatizo nini wakati nadai haki yangu.
  8. brighton christopher

    Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

    Naongezea kozi kwa level zote, certificate, bachelor, na masters ili watu wasipoteze mda kusoma kitu ambacho hakima msaada kwao. Ahsante.
  9. brighton christopher

    Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

    Wateja wamekua wengi [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. brighton christopher

    Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

    Mkuu mbona kawaida kichwa Cha chini Cha mwanaume Kuna wakati kinakua na nguvu kuliko kichwa Cha juu ambacho kilimeza 4figure yote cos&sin[emoji23][emoji23]
  11. brighton christopher

    Nimepata matatizo lakini hakuna Ndugu yangu aliyekuja wala kupiga Simu ya pole

    Usilipe ubaya kwa ubaya wewe tenda wema kaka mwisho wa ubaya no aibu.
  12. brighton christopher

    Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Inawezekana hata sheria ya bodi ya mikopo makato kua aslimia 15% ilipitishwa akiwa hajui Sasa kwa kua amejua Rai yetu Sasa ibadilishwe irudi ile ya zamani ya asilimia 8%
  13. brighton christopher

    Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Inawezekana hata sheria ya bodi ya mikopo makato kua aslimia 15% ilipitishwa akiwa hajui Sasa kwa kua amejua Rai yetu Sasa ibadilishwe irudi ile ya zamani ya asilimia 8%
  14. brighton christopher

    Ifahamu Kozi ya Sayansi Afya ya Mazingira(Environmental Health Sciences)

    Mkuu kwa upande wa masters hiyo course naweza ipata nimesoma geography University au lazima uweumesoma science.asante
  15. brighton christopher

    Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Naomba namba yako pm kiongozi. Asante kuna Jambo nitaomba ufafanuzi. Asante
  16. brighton christopher

    Mwanamke agoma kufua kitambaa cha mkononi cha mmewe

    Ukileta complications kwenye mahusiano hata mwezi hauishi yanavunjika vingine jifanye mjinga maisha yaende
  17. brighton christopher

    Eti ni kweli wadada huwa hamfuti namba ya simu after break up?

    Mwaka 2007 nilikua na ka bby kangu kakaja geto from kibaha mpka goms tumepiga story nikaomba mzigo kakasema nikaguse popote ila Pichu hakavui aiseee kalikazaa mwanzo mwisho nikaona isiwe shida mapenzi sio vita Wala ugomvi kalipo Rudi kwao nikafuta namba sikukatafuta Tena juzi naona sms yake...
  18. brighton christopher

    Mwanamke agoma kufua kitambaa cha mkononi cha mmewe

    Hilo nalo lakuja kuomba ushauri? Mbona jepesi tu unakichukua unafua very simple
Back
Top Bottom