Sio kweli kwamba Babu wa Loliondo ametumwa na Mungu kutumia dawa hiyo kuwaponya watu. Huyo Babu ametumwa na "mungu wa dunia hii(shetani) ili kuwadanganya watu waache kumtumaini na kumwamini Mungu wa kweli ili hatimaye waangamie siku ile ya mwisho. Soma 2 Wakorintho 4:4 na kisha tafakari kwa...
Kwani ni mchungaji yupi halindwi?.Kuna mambo ya rohoni,hufanywa kiroho,kuna mambo ya mwilini hufanywa kimwili.Paroko huwa na timu ya vijana kama wawili au wanne,mchungaji wa kilutheri huwa na wazee wa kanisa,hawa ndio walinzi.Kwa upande wa mchungaji Gwajima ni kutokana na huduma yake,anapambana...
Originally Posted by Jaba-li
Ndugu yangu, kubadili imani kwa ushawishi wa mtu mwingine ndio mwanzo wa kuyumba kwa mipango na mambo yako mengi ktk maisha yako, na hasa kuingia ktk madhehebu yaliyoibuka kipindi hiki. Mengi ya madhehebu haya hayana tofauti na makampuni ya biashara au magenge ya...
Campana umenifanya nichangie maana comment yako kuwa mkuu wetu wa nchi atajichekeshachekesha imeniacha hoi.Hivi ni kwa nini tuko hivi??Ina maana badala ya mkuu wa kaya kuzungumzia matatizo yetu azungumzie kuhusu kuzindua kaburi la FL wa malawi??Is it serious?Campana niambie kama ndivyo alivyo...
Waone kwanza wanaokutunza kiroho,maana umesema wewe ni mkatoliki mwone padri na umweleze hali ilivyo ushauri atakaokupa ufuate.Maana kuna kipindi jamaa mmoja alikutwa na mambo kama hayo ila alipomweleza mchungaji na wazee wengine wanaojua mambo vizuri walikubali na ndoa ikafungwa.Undugu hapo uko...
Yawezekana maana mambo hayo yanaendana na nguvu za mwili,ndio maaana utakuta shamba boy ni wazuri sana kwa kuwa kazi zao zinawafanya miili yao iwe fit.
sababu nyingine huenda ikawa ni kukosa mazoezi kwa maana muda mwingi yuko kwenye buku huwezi mlinganisaha na mtu wa kazi za nguvu.Kusoma...
Ukisema kitu kifutwe utakuwa unazo sababu za kutosha,kwa kutoa vipengele kadhaa ambavyo wamekiuka.Ukikurupuka kama ulivyofanya,huo ndio udikteta,tunaishi kwa misingi ya sheria.Hivyo toa kifungu cha sheria na adhabu yake iwe kufutwa.Vinginevyo you are not a great thinker.Huna Data,huna kifungu...
Kuna watu nawashangaa sana,wakidai eti kwa kuwa chama ni cha kikabila au kidini kitakufa.Sijui hiii falsafa ameitoa wapi.Hebu fikiri je mtu anaweza kukataa kabila lake kwa ajili ya chama?.Na ikiwa ni chama cha kabila kwa nini mimi ambaye ni wa kabila hilo nisikipende chama changu??Au kama ni cha...
Haya ni maisha,kuhusu kusema watahukumiwa au la hilo sio la mwanadamu,maana hakuna ajuaye baada ya kifo.Naona aliyetoa hoja hii naomba kusema kuwa huenda anaona wivu wa mafanikio walioyapata hawa jamaa.Hii tunaiita ni biashara kamili kama ilivyo biashara nyingine halali,unapoiva kiroho na...
Shame on you CCM kumbe ninyi ndio wa kwanza kuimega amani mnayotamba nayo kumbe hamkuijenga ninyi.CCM kimekuwa chama cha wahuni sasa.MOD usinifungie kwa kutumia neno wahuni.N ahuyu aliyepewa jukumu la kusimamia uchaguzi na hajui sheria basi aondolewe maramoja akajifunze sheria vizuri,
Kama kule Mwanza aliko ni nyumba ya huyu aliyeoa,basi mwache atulie mpaka apate nguvu ndio umweleze.Ila asijihangaishe kusema anaondoka kwenye hiyo nyumba,yeye atulie tuli jamaa atamchoka tu huyu waliyefunga naye naye ndoa ya bomani na kwa kuwa watakuwa wamepanga basi atarudi tu Mwanza.
Ila...
Alishapitia hayo ndio maana yuko makini akijua kuwa yeye alikuwa anatumiwa message na anajua jinsi alivyokuwa anaweza kuzificha aitha kwa kudelete ndio maana yuko makini kwako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.